Uko sahihi,wale jamaa lile ndio soka lao..sasa mechi ya marudiano ule msako utakua tangia dakika ya kwanza..na jinsi wachezaji wa simba wanavyokabia kwa macho..tutegemee over 1.5 kipindi cha kwanza..
Genta nae mtoa mabomu....nikiangalia uandishi wako na yeye ni wale wale kamanda wangu....tuambie tu ukweli wewe ni yule?, hata nikijaribu kutag ID yake linagoma.