NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka.
labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji wake wa goli na kutoshangilia ulikua ni ujumbe mkubwa sana kwenye benchi la ufundi
benchi limeshituka na kuanza kumtumia Azizi k kwa dakika za kutosha sasa wameanza kumuacha Pacome nje na kumpa dakika za kutosha Chama wakati uchezaji wake mbele za Pakome anasubiri pakubwa mno tena mno.
Chama bado ana mwendo wa pole na kupoza mashambulizi muoga anapoona mpinzani anakuja mbele yake kumkaba ni mtu wa kuhofia kuumia sasa ukwa na mchezaji wa hivi ni hatari sana haswa wapinzani wanapokua wamejua madhaifu yake.
Chama alisajiliwa kisiasa na viongozi waliompigia upatu aje Yanga wanamlazimisha Gamond ampe muda wa kutosha lakini kiuhalisia hakuna kitu
Maoni Yangu; Viongozi wamuache Gamond afanye kazi yake achague kikosi anachokiona kinamfaa kwa kuzingatia wachezaji bora alinao