Konkii
Member
- Jan 22, 2014
- 27
- 8
We utakuwa Kagere weweWasi wasi wako ni nini?
Mbona wapo walimu wazuri ,Simba inao wahitaji kuliko yeye?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa Kagere weweWasi wasi wako ni nini?
Mbona wapo walimu wazuri ,Simba inao wahitaji kuliko yeye?
Tena baada ya kujua umuhimu wa pakaHii ndiyo safi anaondoka na CV yake nzuri maana mlikua mnamvizia mumfukuze.
Du kazi tunayo! Mimi simba lkn sikufurahishwa na yanga kumtimua yule kocha wao mjerumani tena wakiwa kwenye mafanikio. Simba wakamtimua Patrick Aussems leo tumetimua Sven, haijakaa sawa. Mautawala ya haya matimu yetu yanashida kuanzia Yanga, Simba na Azam kwa staili hii tutachukua miaka mingi kupata timu zenye ubora wa juu kabisa Afrika na Duniani kwa ujumlaSIMBA SC YAACHANA NA KOCHA SVEN
DAR ES SALAAM: JANUARI 07, 2021
#HABARI: KLABU ya SIMBA SC imetangaza kuachana na kocha wake Mkuu Sven Vanderbroeck kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa kutoka katika Klabu hiyo imeeleza kuwa, nafasi ya Kocha huyo itakaimiwa na kocha msaidizi, Selemani Matola.
Vanderbroeck akiwa na Simba amefanikiwa kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, FA, Ngao ya Jamii na kuifikisha timu hiyo hatua ya makundi katika ligi ya Mabingwa Afrika.
View attachment 1671324
Ni ukweli mkuuBado unaamini ni tetesi?
Ulitaka kaduguda aeleze lipi?Simba lazima kutakuwa na tatizo..
Kaduguda anaulizwa anasema hajui kama kocha kaondoka..anasema aulizwe CEO..
kwanza mimi siyo utopolo , halafu fuatilia kilichomuondoa kocha badala ya kutoa povu lisilo na viwangoKuna watu wanaamini uchawi kama Utopolo nchi hii?
Mnabanawa mbavu na Prison wachezaji wanaenda kukagua nyavu na kukung'uta taulo la goal keeper katikati ya mchezo!Mara mnagoma kupitia lango kuu,utopolo ndio wenye imani za kishirikina!
Simba imewekeza kwenye wachezaji wazuri,sio porojo za hovyo!
naunga mkono hoja ....japo wamesema anashika Kwa muda then watamleta kocha mkuu soon ......
mkuu nilikucheki PM.
Sawa sawa niliona mkuu, nitakujibu leo nivumilia mkuu, tupo pamoja tutalifanyia kazi wote leo,naunga mkono hoja ....japo wamesema anashika Kwa muda then watamleta kocha mkuu soon ......
mkuu nilikucheki PM.
Waje watuelezi kilichotokea kwa sven, kocha ameleta mafanikio sana hata kama alikua tofauti na baadhi ya wachezaji bado ni kocha aliezingatia disciplineMatola ni kocha wa mapunduzi cup tu
nakumbuka alikuja hivi hivi katikati ya msimu na kaondoka katikati ya msimu....Tutayumba sana mkuu, hivi management wanawezaje kweli kumuachia kocha hasa kipindi kama hichi, kocha alietuletea mafanikio mbalimbali,
Tueleze,kilichomuondoa ni nini?Maana inaonekana unakijua!kwanza mimi siyo utopolo , halafu fuatilia kilichomuondoa kocha badala ya kutoa povu lisilo na viwango
Unaandika upuuzi.Ila mashabiki wa soka sijui huwa wanataka nini hasa? Yaani % kubwa ya mashabiki na viongozi wa Simba hawamkubali huyu kocha (uwezo wake ni mdogo) ila leo hao hao wanakuja kumtetea hapa? Hivi hawa ni mashabiki wa Simba kweli au wa Utopolo ambao wanajua uwepo wake pale Simba una faida kwa Utopolo?
Hata kwenye mechi ya juzi ya Simba vs Platinum kulikuwa na mzozo mkali kwenye benchi la ufundi. Walimtaka kocha afanye sub haraka second half ili Simba iipress Platinum na hivyo ipate matokeo haraka, yeye akawa mbishi. Hivi kwa mfano;Chris Mugalu alikuwa anafanya nini mle uwanjani? Kocha akishauriwa na wenzake anakuwa mbishi kinoma. Ndo maana kuna wakati benchi la ufundi walianza kuzinguana. Kocha alivyokubali sub zifanyike (kwa shingo upande lakini) kila mtu aliona faida ya sub zile. Halafu kuna wajinga humu wanamtukana Matola kwamba amemfanyia futna mzungu pori. Mngejua jinsi Matola alivyokuwa msaada kwenye ile game msingefungua mabakuli yenu kumlaumu.
Kila mtu uwanjani alitaka sub ifanyike, kwenye vibanda umiza hali ilikuwa hivyo hivyo. Na huyo Kocha hapendagi kushauriwa.Ye ni nani asishauriwe? Mechi kibao za VPL ameendekeza huo upuuzi wake. MI NASEMA AKWENDREEE ZAKE, ANAYEMTAKA AENDE NAYE HUKO AENDAKO.
😂😂😂Uchawi fcKwahiyo we unafikiri hao Wakongo hawafanyi hayo mambo? Mazembe walijiandaa kwa figisu zote;zinazoonekana na zisizoonekana. Ulijiuliza ni kwanini TP Mazembe waliamua kushukia uwanja wa ndege wa Songwe badala ya JKNIA, KIA au Mwanza Airport? Au unafikiri waliamua tu?
Baada ya Simba kumfanyia mbaya AS Vita hapa DSM,Mazembe walijulishwa kilichokuwa kinafanyika ndani ya Simba hivyo wakajipanga,la sivyo walikuwa wanaliwa kichwa pia.
AS Vita, Al Ahly, na hata JS Sourra walilalamikia kupuliziwa 'kemikali' vyumbani. Issue haikuwa kemikali bali kulikuwa kuna mengi zaidi.Na ingekuwa ni kemikali kiuhalisia CAF wangebaini na wangeipiga adhabu Simba.Ile ilikuwa kemikali ya kijadi ambayo wala huwezi kuithibitisha kwa vipimo vyenu vya kisayansi.
naunga mkono hoja ....japo wamesema anashika Kwa muda then watamleta kocha mkuu soon ......
mkuu nilikucheki PM.
Na Kigoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkikaa kijiweni mmetawanya miguu ndo mnadanganya upumbavu kama huu?[emoji23][emoji23][emoji23] Mpira hauna uchawi. Tanga na ,Zanzibar au Bagamoyo wangekuwa wanashinda matches kila siku bwege wewe.