Kocha mkuu wa Argentina: Messi alikuwa hazuiliki

Messi wa miaka mitano nyuma si Messi huyu wa 2023, mpira huchezwa hadharani na tunaona kabisa jinsi alivyoshuka ubora wa soka.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unakosea vibaya sana kusema kuwa Messi ameshuka kiwango kwa namna hiyo.
Mpaka sasa tizama Messi anavyocheza hakuna wachezaji wa sasa wanaomfikia bado huyo lewandowski na Halland ni magoli tu ila skills na ku play make hawawezi.
Inter Miami kaenda kule timu ina muda haijapata kombe kawapatia kombe na hata Messi akicheza unaona uwanjani Kuna wachezaji na Kuna mtu anaitwa Messi.
 
Ulisikia wapi na lini CR7 alilalamikiwa kubeba tuzo za Ballon D' Or hata 1 tu? Sana sana Messi tuzo alizobeba kihalali ni 5 ila 3 zote kalalamikiwa hadi zingine anajistukia kukabidhiwa akidai wapinzani wake ndiyo walikuwa wanastahili hizo tuzo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwani uelewa wako kwenye mpira ndio umeishia hapo ... Mwaka 2013 franck Ribery anachukua UEFA, BUNDESLIGA, DFP POKAL, UEFA SUPER CUP na CLUB WORLD CUP .. alimaliza na magoli 26 na assist 27 ... Lakini alikosa ballon d'or...

Akachukua CR7 ambae alichukua LALIGA hahahahhaha ...

HIVI WEWE UNAFATILIA MPIRA KWELI ? AU YA MESSI NDIO UNAYO YAONA.
 
Yani wewe na mimi tujue Balloon d'o zinavyotolewa lakini Messi mwenyewe ajistukie kwa aibu kuwa hakustahili kabisa tuzo za Ballon D'Or 2021 & 2023 zaidi ya kina Lewandowski na Haaland?

Baki unavyoamini nami nibaki ninavyoamini kuwa kati ya Balloon d'o 8 za Messi ni 3 ndizo za uhalali.

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi na Ronaldo kwa ubora wa soka.

2010 Messi hakustahili kabisa tuzo ya Balloon d'o.

Hata Messi akibeba tuzo 100 hainipunguzii wala kuniongezea chochote kimaisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wapo walosema hastahili na wapo walosema anastahili.
Lewandowski alipata mafanikio ya klabu peke yake pamoja na huyo halland na katika mafanikio binafsi Messi alikua juu kitakwimu.
2023 alipata kwa ubora aloonesha kombe la Dunia 2022 na kwa kuwa mchezaji Bora kombe la Dunia na kuweka rekodi duniani kuwa Toka kombe la dunia kuanza yeye ndiye mchezaj pekee kubeba golden ball nyingi wengine wote wamebeba Moja moja.
We ungempa nani??
Kwa Mimi ballon zote 8 ni halali kwa alivyochukua.
Maana hao kina halland na lewandowski Wana mafanikio ya sehem moja hata ukiyalinganisha bado Messi anaonekana yupo juu.
 
Messi wa miaka mitano nyuma si Messi huyu wa 2023, mpira huchezwa hadharani na tunaona kabisa jinsi alivyoshuka ubora wa soka.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hilo liko wazi kabisa umri ni tatizo kwenye mpira, kwa hiyo kiwango lazima kishuke kwa mchezaji yeyote yule .. ILA kwa umri wake huo mkubwa Messi wa 2022 alikua hatari sana kuliko hata yule messi wa 2014 kwenye kombe la dunia !! MACHO YALISHUUDIA ALIYOYAFANYA KOMBE LA DUNIA .
 
Na kwa world cup 2022 kama sio mbappe kumzidi goli moja basi Messi alikua anabeba tuzo zote.
 
Yani wewe na mimi tujue Balloon d'o zinavyotolewa lakini Messi mwenyewe ajistukie kwa aibu kuwa hakustahili kabisa tuzo za Ballon D'Or 2021 & 2023 zaidi ya kina Lewandowski na Haaland?

Baki unavyoamini nami nibaki ninavyoamini kuwa kati ya Balloon d'o 8 za Messi ni 3 ndizo za uhalali.

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi na Ronaldo kwa ubora wa soka.

2010 Messi hakustahili kabisa tuzo ya Balloon d'o.

Hata Messi akibeba tuzo 100 hainipunguzii wala kuniongezea chochote kimaisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa kwann uteseke?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vile tu pesa kipindi chake haikuwa na thamani kama sasa ila Gaucho alipaswa kuwa tajiri kuwazidi wote hao mzee wa tabasam hata umkwatue kiatu ye ni [emoji16]

Huwezi ukamzungumzia gaucho kabla hujamtaja Kaka yake/Zidane, huyu muAlgeria weka mbali na gaucho

Na linapokuja suala la Messi, tafadhali gaucho sio mahala pake hapo, gaucho ashindanishwe na wa level yake, ila sio kwa maradona, pele, puskas, cr7, zidane, alfredo de stefano na iniesta.

Messi sijamweka hapo, unajua ni kwa sababu gani sijamlist hapo, jiongeze mwenyewe.
 
Unachekesha sana
kwa hyo wewe kusema hakuna wa kufananishwa na andunje ndo mwanampira siyo, kila anayekuwa na mawazo tofauti na wewe kuhusu andunje siyo mwanampira siyo, mkuu unataka ulimwengu wote uwaze kama wewe? hlo linawezekana kwel
 
Hakika umesema hizi ni biashara. Kuna mwaka Adebayor alilalamika, alipewa taarifa yeye ndiye mshindi akasema Kwa bahati mbaya hawezi kufika kwenye tuzo sababu ana mechi muhimu. Kilichotokea wakamwambia kama haendi atachaguliwa mchezaji mwingine, na hakika ndicho kilichotokea. Tuzo za kijanja kijanja.

Hahhaaa, huoni hata aibu kuongea haya!
 
kwamba kile kipaji ni dawa alichomwa?
kwamba mpira kunasa miguuni mwake ni sindano alichomwa?

aisee nimemtazama yule andunje toka akiwa 17, ile ni habari nyingine........

Capello akiwa kocha juventus, baada ya mechi ya kirafiki kati ya juve na barça, 2003 kama sio na 04, alisema hajawahi kuona kipaji kama Messi, na akahitimisha kwamba huyu atakua mchezaji bora dunia kuwahi kumshuhudia, by then alikua 16yrs!
Ukiachana na Fabio Capello, huyo huyo to Ronaldinho ambaye baadhi ya wachangiaji wanamtaja taja hapa kwenye huu Uzi ameshakili mara kadhaa kuhusu uwezo wa Messi.

Mwaka 2003 baada ya Ronaldinho kusajiliwa na Barca, Kuna siku timu ya wakubwa(senior team) ilicheza mechi na timu ya watoto wa Lamasia U-16 ambapo ilikuwa na Messi, Gerald Pique, Bojan Krik wakati huo timu ya wakubwa ilikuwa na akina Puyol,Guilty,Kluivert,Marquez na Dinho mwenyewe.... lakini Mpaka mechi inaisha Messi ndio aliibuka Man of the match.

Baada ya hiyo mechi Ronaldinho alisema kwamba watu wanamuona kuwa yeye ni mchezaji mahiri sana, ila Messi ndio mchezaji Bora kabisa kuwahi kutokea Barcelona na ni suala la muda tu dunia itamuhusudu kwa ubora wake, hiyo ilikuwa ni 2003.

Ukiachana na hiyo kwenye michuano ya copa America 2004 l aliyekuwa kocha wa Argentina Jose Pekerman alitaka kwenda nae kwenye michuano lakini Barcelona wakamuwekea ngumu, na hii ni kwa sababu shirikisho la Soka nchini Spain lilikuwa linafanya jitihada ili aichezee Hispania. Yote hii ni kwa sababu ya uwezo wake, Leo hii akina Garnacho wamezaliwa Spain halafu wanaamua kuichezea Argentina na hakuna mtu anaeangaika nao.

Messi ni kipaji cha kipekee sana kuwahi kutokea kwenye historia ya mpira wa miguu hapa chini ya jua
 
Yani wewe na mimi tujue Balloon d'o zinavyotolewa lakini Messi mwenyewe ajistukie kwa aibu kuwa hakustahili kabisa tuzo za Ballon D'Or 2021 & 2023 zaidi ya kina Lewandowski na Haaland?

Baki unavyoamini nami nibaki ninavyoamini kuwa kati ya Balloon d'o 8 za Messi ni 3 ndizo za uhalali.

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi na Ronaldo kwa ubora wa soka.

2010 Messi hakustahili kabisa tuzo ya Balloon d'o.

Hata Messi akibeba tuzo 100 hainipunguzii wala kuniongezea chochote kimaisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Maneno mengi ya nini! Sema tu unamchukia Messi tujue moja kamanda! Ronaldo leo hii angelikua na world cup na ballon hata 6 ungekuja na hii comment ya chuki!

Chukua Zidane, Gaucho, iniesta, cr7, ronaldo, Batistuta, pele n.k kisha wachanganye kwa pamoja then ufanye comparison kwa one person,👉 Messi😄

Acha chuki,
 
Maneno mengi ya nini! Sema tu unamchukia Messi tujue moja kamanda! Ronaldo leo hii angelikua na world cup na ballon hata 6 ungekuja na hii comment ya chuki!

Chukua Zidane, Gaucho, iniesta, cr7, ronaldo, Batistuta, pele n.k kisha wachanganye kwa pamoja then ufanye comparison kwa one person,[emoji117] Messi[emoji1]

Acha chuki,
Andunje anayejipiga kifuani mara 3 na kujiona ana mahaba na Messi ilihali hata Messi mwenyewe hamtambui na hana hata haja ya kumtambua kwa kushabikiwa naye [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hilo liko wazi kabisa umri ni tatizo kwenye mpira, kwa hiyo kiwango lazima kishuke kwa mchezaji yeyote yule .. ILA kwa umri wake huo mkubwa Messi wa 2022 alikua hatari sana kuliko hata yule messi wa 2014 kwenye kombe la dunia !! MACHO YALISHUUDIA ALIYOYAFANYA KOMBE LA DUNIA .
2022 Kombe la dunia lililokosa ladha tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Timu 1 inapewa penati 6 hadi inaingia fainali, kama si mipango ili timu Andunje ibebe kombe la dunia ni nini haswa [emoji848][emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
kwamba kile kipaji ni dawa alichomwa?
kwamba mpira kunasa miguuni mwake ni sindano alichomwa?

aisee nimemtazama yule andunje toka akiwa 17, ile ni habari nyingine........

Capello akiwa kocha juventus, baada ya mechi ya kirafiki kati ya juve na barça, 2003 kama sio na 04, alisema hajawahi kuona kipaji kama Messi, na akahitimisha kwamba huyu atakua mchezaji bora dunia kuwahi kumshuhudia, by then alikua 16yrs!
Hapo kwa Capello ongezea na Ronaldinho na Wenger,hawa walimwona mapema sana.
Ulisikia wapi na lini CR7 alilalamikiwa kubeba tuzo za Ballon D' Or hata 1 tu? Sana sana Messi tuzo alizobeba kihalali ni 5 ila 3 zote kalalamikiwa hadi zingine anajistukia kukabidhiwa akidai wapinzani wake ndiyo walikuwa wanastahili hizo tuzo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Lini Messi alijishtukia.
 
Back
Top Bottom