Yani wewe na mimi tujue Balloon d'o zinavyotolewa lakini Messi mwenyewe ajistukie kwa aibu kuwa hakustahili kabisa tuzo za Ballon D'Or 2021 & 2023 zaidi ya kina Lewandowski na Haaland?
Baki unavyoamini nami nibaki ninavyoamini kuwa kati ya Balloon d'o 8 za Messi ni 3 ndizo za uhalali.
Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi na Ronaldo kwa ubora wa soka.
2010 Messi hakustahili kabisa tuzo ya Balloon d'o.
Hata Messi akibeba tuzo 100 hainipunguzii wala kuniongezea chochote kimaisha.
Sent from my CPH2387 using
JamiiForums mobile app