Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

Katika makocha watakao ondoka wa aibu Robertino yumo, ana maneno mengi sana! amesahau alisema hii timu inafika final ya CAFCL
 
Hakuna Timu ya namna hiyo duniani, naamini katika kushambulia kwa nidhamu na kujilinda kwa nidhamu
 
Sasa kauliza uzee unaanza miaka ngap? Hajauliza uzee wa wachezaji unaanza miaka ngap? Umeelewa mkuu
Mbona una tatizo la kuhusianisha mada na maelezo ya watu?, Kocha katoa kauli kulingalingana na muktadha anaofanyia kazi... Muuliza swali kauliza kutokana na muktadha wa mleta mada so far wewe hujielewi.
 
“Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.View attachment 2526927
Na alichokisema ni ukweli mtupu. Simba wakitaka kumfaidi huyu kocha, basi wanatakiwa wampe muda hata wa misimu miwili au mitatu, ili aweze kukisuka kikosi upya.

Hata ukiingalia timu ya Vipers ilikuwa tishio sana chini ya huyu kocha.
 
Back
Top Bottom