Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Atayakuta Adis Ababa.uwapange hao afu timu ifungwe - aisee watakuletea mabegi yako airport.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atayakuta Adis Ababa.uwapange hao afu timu ifungwe - aisee watakuletea mabegi yako airport.
“Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.View attachment 2526927
Kawaulize chalinzeKwani uzee ni kuanzia miaka mingapi
Mbona una tatizo la kuhusianisha mada na maelezo ya watu?, Kocha katoa kauli kulingalingana na muktadha anaofanyia kazi... Muuliza swali kauliza kutokana na muktadha wa mleta mada so far wewe hujielewi.Sasa kauliza uzee unaanza miaka ngap? Hajauliza uzee wa wachezaji unaanza miaka ngap? Umeelewa mkuu
Na alichokisema ni ukweli mtupu. Simba wakitaka kumfaidi huyu kocha, basi wanatakiwa wampe muda hata wa misimu miwili au mitatu, ili aweze kukisuka kikosi upya.“Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.View attachment 2526927
Haha huyu akiamka asubuhi kocha ndiyo anamuamkia “shikamoo onyango”
Kwamba huyu dingi ni mdogo angu.. embu kuwa siriaz
Kwenye soka uzee kuazia 30 yrsKwani uzee ni kuanzia miaka mingapi