Kocha Mpya Asema Yanga wanapangiwa match kila baada ya siku 3. Jamaa ana kitu atafika mbali

Kocha Mpya Asema Yanga wanapangiwa match kila baada ya siku 3. Jamaa ana kitu atafika mbali

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Screenshot_2025-02-11-14-29-20-360_com.twitter.android~2.jpg
 
Angemalizia kwa kusema: kwanza ligi ya Tanzania ni ya hali chini sana, ndiyo maana hatukufanya mazoezi yoyote.

Aziz K ana anafunga harusi na Mobeto Jnne ijayo kwa hiyo mawazo yako kwenye K tu.
Siyo Aziz Ki tu, timu nzima hivi sasa iko bize kwenye maandalizi ya harusi.

Ila hata maandiko yanatuambia mwanamke ni kiumbe hatari sana ingawa tunakipenda hiki kiumbe balaaa. Mobetto peke yake kaiangusha timu nzima bila kutumia nguvu.
 
Angemalizia kwa kusema: kwanza ligi ya Tanzania ni ya hali chini sana, ndiyo maana hatukufanya mazoezi yoyote.

Aziz K ana anafunga harusi na Mobeto Jnne ijayo kwa hiyo mawazo yake muda wote yako kwenye K tu.
K vant au k Misa.
 
Kesho jkt anacheza,na katoka kucheza Jana...sasa sjui mna la kujitetea?
 
Back
Top Bottom