ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kocha mpya wa Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu asitake kutuletea falsafa zake zisizo eleweka hapa. Inajulikana siku zote kuwa Simba falsafa yake ni kuanzisha mashambulizi kwa kutumia viungo na sio mawinga hilo anatakiwa kulijua tofauti na hapo maisha yake ndani ya Simba ni mafupi sana.
Timu inayo amini kutengeneza mashambulizi kupitia mawinga ni Utopolo na ndio maana inapenda kusajili wachezaji wanao kimbia kimbia hovyo kama vichaa.
Mechi ya jana uwezo binafisi wa wachezaji ndo umeamuwa matokea na sio mbinu jana Simba kipindi cha pili ilicheza mpila wa hovyo kabisa, kwa sababu ya kukosa kiungo wa kuchezesha timu baada ya chama kutoka.
Anacho takiwa ni kuhakikisha chama anaingia kwenye mfumo wake na sio kumpiga bechi, watu wanasema eti chama ni mchezaji wa taratibu lakini wanasahau kuwa kipindi cha Uchebe na kishingo Simba ilikuwa inafanya mashambulizi kwa kasi ya ajabu na Chama alikuwa miongoni mwa hicho kikosi.
Kama hawezi kufuata falsafa ya Simba asepe tu sisi tunahitaji mpira wa kutumia akili na sio mipira ya kushika na kubutua mbele ili wachezaji wakimbizane kama vichaa kwenda kufunga.