Kocha mpya Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Kocha mpya wa Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu asitake kutuletea falsafa zake zisizo eleweka hapa. Inajulikana siku zote kuwa Simba falsafa yake ni kuanzisha mashambulizi kwa kutumia viungo na sio mawinga hilo anatakiwa kulijua tofauti na hapo maisha yake ndani ya Simba ni mafupi sana.

Timu inayo amini kutengeneza mashambulizi kupitia mawinga ni Utopolo na ndio maana inapenda kusajili wachezaji wanao kimbia kimbia hovyo kama vichaa.

Mechi ya jana uwezo binafisi wa wachezaji ndo umeamuwa matokea na sio mbinu jana Simba kipindi cha pili ilicheza mpila wa hovyo kabisa, kwa sababu ya kukosa kiungo wa kuchezesha timu baada ya chama kutoka.

Anacho takiwa ni kuhakikisha chama anaingia kwenye mfumo wake na sio kumpiga bechi, watu wanasema eti chama ni mchezaji wa taratibu lakini wanasahau kuwa kipindi cha Uchebe na kishingo Simba ilikuwa inafanya mashambulizi kwa kasi ya ajabu na Chama alikuwa miongoni mwa hicho kikosi.

Kama hawezi kufuata falsafa ya Simba asepe tu sisi tunahitaji mpira wa kutumia akili na sio mipira ya kushika na kubutua mbele ili wachezaji wakimbizane kama vichaa kwenda kufunga.
 
Anacho takiwa ni kuhakikisha chama anaingia kwenye mfumo wake na sio kumpiga bechi
Yes, build a team around Chama - if you can't please give back our Simba.

Nilichoona mimi ni kwamba aliona katikati pamepwaya, Mbeya city walibana mno, so kocha akataka kutumia winga, na ndiyo maana ukaona ilikuwa ni lazima mmoja kati ya Chama na Saidoo atoke - kura ikamwangukia Chama.

Kuna game zaja hawa wawili hawatacheza wote, ni lazima mmoja awe bench hilo wana simba ni LAZIMA mlijue mapema na ndiyo utamu wa kikosi kipana.
 
Kocha mpya wa Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu asitake kutuletea falsafa zake zisizo eleweka hapa.

Inajulikana siku zote kuwa Simba falsafa yake ni kuanzisha mashambulizi kwa kutumia viungo na sio mawinga hilo anatakiwa kulijua tofauti na hapo maisha yake ndani ya Simba ni mafupi sana.

Timu inayo amini kutengeneza mashambulizi kupitia mawinga ni Utopolo na ndio maana inapenda kusajili wachezaji wanao kimbia kimbia hovyo kama vichaa.

Mechi ya jana uwezo binafisi wa wachezaji ndo umeamuwa matokea na sio mbinu jana Simba kipindi cha pili ilicheza mpila wa hovyo kabisa, kwa sababu ya kukosa kiungo wa kuchezesha timu baada ya chama kutoka.

Anacho takiwa ni kuhakikisha chama anaingia kwenye mfumo wake na sio kumpiga bechi, watu wanasema eti chama ni mchezaji wa taratibu lakini wanasahau kuwa kipindi cha Uchebe na kishingo Simba ilikuwa inafanya mashambulizi kwa kasi ya ajabu na Chama alikuwa miongoni mwa hicho kikosi.

Kama hawezi kufuata falsafa ya Simba asepe tu sisi tunahitaji mpira wa kutumia akili na sio mipira ya kushika na kubutua mbele ili wachezaji wakimbizane kama vichaa kwenda kufunga.

Yaani nyinyi hamujui mnataka? Unataka matokeo au falsafa?
 
yes, build a team around Chama - if you can't please give back our Simba.

Nilichoona mimi ni kwamba aliona katikati pamepwaya, Mbeya city walibana mno, so kocha akataka kutumia winga, na ndiyo maana ukaona ilikuwa ni lazima mmoja kati ya Chama na Saidoo atoke - kura ikamwangukia Chama.

Kuna game zaja hawa wawili hawatacheza wote, ni lazima mmoja awe bench hilo wana simba ni LAZIMA tulijue mapema na ndiyo utamu wa kikosi kipana.
Kocha anatakiwa kutengeneza mfumo utakao wezesha wacheze wote, kwa kikosi kilochopo simba kwa sasa hakuna namna yeyote ya saido na chama kuanzia benchi.
 
Dunia gani hiyo ya mpira huo unaousema??, Mashabiki wa Tz bana sijui ni ujinga au kujua kusiko na maana!!. Kila kocha Duniani ana mtindo na falsa yake anayoiamini katkika kufundisha, na timu inapoamua kumpa mkataba kocha walishajua ni muumini wa mfumo upi kiuchezaji...!!, Hili la kulazimisha kocha afate falsa ya timu sijui no ujinga wa Ktz au kutokujua? Kama kocha anapata matokeo huo wewe unataka Nini?. Tupunguze ujuaji wa hovyohovyo tuwaache makocha waache makocha wafundishe mpira kwa ufundi na wanachokiamini Kama walimu. Kocha anahukumiwa akikosa matokeo tu.
 
Yaani nyinyi hamujui mnataka? Unataka matokeo au falsafa?
Sisi hatuitaji timu inayo tegemea bahati kushinda bali tunahitaji timu inayo cheza mpira una eleweka ,ebu fikiria mpila ulio chezwa na simba jana baada ya chama kutoka alafu ndo mnacheza na Casabranca kwenye makundi ya ligi ya mabingwa nini kingetokea si ilikuwa ni kuoga magoli?
 
Yes, build a team around Chama - if you can't please give back our Simba.

Nilichoona mimi ni kwamba aliona katikati pamepwaya, Mbeya city walibana mno, so kocha akataka kutumia winga, na ndiyo maana ukaona ilikuwa ni lazima mmoja kati ya Chama na Saidoo atoke - kura ikamwangukia Chama.

Kuna game zaja hawa wawili hawatacheza wote, ni lazima mmoja awe bench hilo wana simba ni LAZIMA tulijue mapema na ndiyo utamu wa kikosi kipana.
unamanisha hatuna viungo au
 
Kwa kiungo gani sasa huyu mzamiru wa sasa? Au kanoute?
Bila uwezo binafsi wwa kina chama, phiri na sakho kuna game nyingi tusingetoboa maimu huu.
Watu wako pungufu, wanatukamata.

Mzamiru toka aitwe kiungo punda, kawa chizi mnoo, yeye ndio muunganishaji timu lakini ndio anatuangusha, muda wa kucheza hayupp sehemu sahihi, ngumu kumuona mzamiru kapiga pasi 3/5, yaani katoa, anafungua, anapokea, anapasia tena, hizo mbili nadra saana, huwezi kutaka kumiliki mpira wakati una viiungobwa namna hiyo.. Timu zote unazozijua zimecheza soka la kumiliki boli, basi lazima kuwe na kiungo msambaza upendo.

Yule SURE BOY wa kwa wapinzani ni aina ya midfielder anaehitajika simba kwa soka hilo, okwa ni mchezaji wa namna hii sijui kakwama wapi, yaani anaoiga pasi, anaufata moira, anapokea aNageuka upande mwingine anaachia moja, walimu mara nyingi walikuwa wanamchezesha namba 10, kwa aina yake ya mpira si mzuri akicheza hapo.
 
Mzamiru tatizo umri, binafsi sijui kwanini Okwa hakuwahi kupewa nafasi ya kucheza mpira Simba, sijalewa kabisa..
 
Dunia gani hiyo ya mpira huo unaousema??, Mashabiki wa Tz bana sijui ni ujinga au kujua kusiko na maana!!. Kila kocha Duniani ana mtindo na falsa yake anayoiamini katkika kufundisha, na timu inapoamua kumpa mkataba kocha walishajua ni muumini wa mfumo upi kiuchezaji...!!, Hili la kulazimisha kocha afate falsa ya timu sijui no ujinga wa Ktz au kutokujua? Kama kocha anapata matokeo huo wewe unataka Nini?. Tupunguze ujuaji wa hovyohovyo tuwaache makocha waache makocha wafundishe mpira kwa ufundi na wanachokiamini Kama walimu. Kocha anahukumiwa akikosa matokeo tu.
Ww ndo hujui lolote kila timu duniani ina farsafa yake na kocha akija anatakiwa kuiboresha na sio kuibadilisha.
Mfano Baserona farsafa yake ni kucheza mpila wa pasi kocha hawezi kwenda pale akaleta falsafa ya kubutua butua ukavumiliwa.

Kama kocha anahukumiwa na matokeo basi mechi ya jana yame muhukumu, hivi kama timu ina shindwa kumiliki mpila mbele ya mbeya city iliyo pungufu je ungekuwa inacheza na Casabranca iliyo kamili Kwenye makundi ya ligi ya mabingwa?
 
KOCHA AKILI HANA CHAMA NI LAZIMA AANZE SABABU NDIO MCHEZAJI BIRA NA TEGEMEO NA SIMBA INAUNDWA KUOITIA CHAMA...NINA HAKIKA SIMBA YA MGUNDA NA CHAMA ILIPATA GOLI 5 ZIKAJA 5 IKAJA 7 HII YA HUYU FALA HATA GOLI 4 HAIWEZI KUPATA VIONGOZI WANGEMUACHIA MGUNDA MSIMU AMALIZE
 
Yes, build a team around Chama - if you can't please give back our Simba.

Nilichoona mimi ni kwamba aliona katikati pamepwaya, Mbeya city walibana mno, so kocha akataka kutumia winga, na ndiyo maana ukaona ilikuwa ni lazima mmoja kati ya Chama na Saidoo atoke - kura ikamwangukia Chama.

Kuna game zaja hawa wawili hawatacheza wote, ni lazima mmoja awe bench hilo wana simba ni LAZIMA tulijue mapema na ndiyo utamu wa kikosi kipana.
Phiri akirudi, Saidoo atokee benchi.
 
Kwa kiungo gani sasa huyu mzamiru wa sasa? Au kanoute?
Bila uwezo binafsi wwa kina chama, phiri na sakho kuna game nyingi tusingetoboa maimu huu.
Watu wako pungufu, wanatukamata.

Mzamiru toka aitwe kiungo punda, kawa chizi mnoo, yeye ndio muunganishaji timu lakini ndio anatuangusha, muda wa kucheza hayupp sehemu sahihi, ngumu kumuona mzamiru kapiga pasi 3/5, yaani katoa, anafungua, anapokea, anapasia tena, hizo mbili nadra saana, huwezi kutaka kumiliki mpira wakati una viiungobwa namna hiyo.. Timu zote unazozijua zimecheza soka la kumiliki boli, basi lazima kuwe na kiungo msambaza upendo.

Yule SURE BOY wa kwa wapinzani ni aina ya midfielder anaehitajika simba kwa soka hilo, okwa ni mchezaji wa namna hii sijui kakwama wapi, yaani anaoiga pasi, anaufata moira, anapokea aNageuka upande mwingine anaachia moja, walimu mara nyingi walikuwa wanamchezesha namba 10, kwa aina yake ya mpira si mzuri akicheza hapo.
Lakini hata kukiamuwa tutumie mawinga kwa mawinga gani tulio nao akina kibu?
 
viongozi wa Simba ni kachumbari,nani aliwaaminisha Simba ina uhitaji wa kocha?
Mgunda kaipeleka Simba group stage kibabe tena kaonekana hatoshi kisa nini,uzawa wake au rangi yake sio mweupe,ama ni kitu gani!
 
Back
Top Bottom