Kocha mpya Simba ni lazima aendane na falsafa ya timu


unazungumzia timu mbili tofauti hapo, kila mtu au kila kocha anakuja na mfumo wake

kwa hayo mawazo yako basi tusiwe na kocha, wakati wa mechi list si inajulikana? wacheze tu

why mnataka kuwe na kocha na hamtaki mawazo yake?

huo ni ujinga
 

kama ni hivyo basi tusiwe na kocha, tunaitaji kocha wa nini?

haiwezekani kocha afate mchezo wa mchezaji never, hata chama alivyokuwa anacheza zambia na tz ni tofauti hata anavyocheza nation team ya zambia mbona tofaut? hata bekane mbona likuwa tofauti? hayo yote ni kutokana na mifumo ya walimu
 

jifunze kumheshim mpinzani
 
Sasa yeye kama kocha anatakiwa kumfanya chama aendane na mfumo wake kama wenzake walio tangulia na sio kumuweka benchi.
Mnasema chama ni mtaratibu lakini kipindi cha Uchebe simba ilikuwa inacheza mpila wa kasi sana na bado Chama alikuwa hawekwi benchi.

Yaani Chama ambaye hakukaa benchi kipindi simba ina wachezaji kama Miqson,Kahata,Fraga,kotei, Bwaliya aje akae benchi timu ikiwa na akina kibu ?
 
Zoran,Ibenge, Robertinho hawa wote ni vichaa??
Chama kwa kocho yeyote mwenye kutaka mpira wa Kasi atampiga benchi tu.

Ana mpira wa kizamani
 
Zoran,Ibenge, Robertinho hawa wote ni vichaa??
Chama kwa kocho yeyote mwenye kutaka mpira wa Kasi atampiga benchi tu.

Ana mpira wa kizamani
Hivi kuna simba iliyo kuwa inacheza mpila wa kasi kama simba ya Uchebe na kishingo? mbona aliweza kucheza?
 
Falsafa kwenye mpira ni kitu ipo.Brasil,Germany,Spain,Real Madrid,Barcelona n,k izo timu zina falsafa zake.
lakini pia kuna falsafa za makocha.
hayo mambo kwenye mpira yapo ndugu zangu.
 
Sio kila mechi kocha atacheza kwa mfumo wake ule ule mwanzo mwisho kuna siku mambo yatakataa atalazimika kutumia plan b hata gadiora kuna siku anapelekewa moto mpaka anaamua kupaki basi.
 
Yaani mnamuabudu sana mungu wenu chama, madunduka hamna akili.
 
Falsafa ya timu ni ipi au ndo lazima chama acheze dk 90 , sku akifa vip na falsafa inabadrika ?
 

Jiulize why nation team ya Zambia kocha haingii kwenye mfumo wa chama?

Why alipokuwa bekane alikuwa anakaa bench because kocha anamfumo wake ambao Kwa chama haufaction?

And why ni lazima kocha wa Simba awe kwenye mfumo wa chama na sio timu mzima?

So hata kama tunafungwa au timu inaelemewa chama aendelee kucheza Tu?

Ushabiki gani huo?

Me ni Simba dam dam kabisa but Kwa ishu ya Jana kocha alifanya Jambo sahihi
 
Kwa hiyo jana kipindi chama anatoka simba ilikuwa imezidiwa?
 
Kwa hiyo jana kipindi chama anatoka simba ilikuwa imezidiwa?

Yes, katikati ilikuwa imezidiwa, na saidoo na chama walikuwa wanafanya kazi moja, ndio maana akamwingiza sako

Na kibu

Kibu ni mbaya yes but analeta presha Kwa mpinzani, ana speed, ana nguvu, ila maamuzi yake ya mwisho ndio shida
 
Uzuri wa soka letu la bongo kila mtu ni mchambuzi, ni kocha...
Mfano mzuri ni mtoa maada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…