Kocha mpya wa Yanga hana sifa za kuwa Kocha Mkuu wa Ligi Kuu ya Tanzania

Acha kuweweseka
Ndio unachojua Mjinga wewe.

Mpira Hujui kanuni Hujui umebaki na mipasho tuu.

Haya tueleze unachofahamu kuhusu hizo kanuni? Huwezi jibu,empty head.

Kule dogo wakuitwa its pancho kakuchana na kakupa point za kutosha na ni yanga mwenzio kabisa.
Kila mtu anakuambia dogo kachambua vitu wazi wazi na vinafact wewe unakuja kuandika Yanga Bingwa unakimbia
 
Ana kibali cha kufanyakazi Tanzania
sawa ana kibali cha kufanya kazi kwani kibali knakuwa issued genral tuu au in specify exactly work permit kufanya kazi katika muajiri husika. nikimaanisha kwamba ukibadilisha muajiri basi ni lazima utafute permit mpya na huwezi kutumia hiyo ya previous employer
 
Reactions: Tui
 
Kwani huwa unahangaika na Yanga wakati wewe ni Simba? Una roho ya kichawi
 
Ungekuwa na akili japo kidogo ungeelewa kuwa mie nimenukuu taarifa rasmi ya Kla bu ambayo Yanga imetoa kuhusu elimu yake na si mawazo yangu.Vinginevyo ungeilaumu timu yako kwa kudanganya kuhusu sifa za kielimu za kocha wenu.Pia ungekuwa makini ungezijua kanuni zinasemaje juu ya sifa za makocha wa ligi kuu,hizi hapa sifa za kuwa Kocha Mkuu wa Ligi Kuu
 

Attachments

  • Screenshot_20250205-133426.png
    222.7 KB · Views: 2
Reactions: Tui
Wacha tuone mwigulu ataiamua vipi hii kesi anaweza mpa uraia muda wowote!
 
On

Ona hii mbumbumbu, Zorani, Robertinho na Benchichak walifundisha misimu mingapi?
Zoran alikuwa kocha 2022.Benchikka na Robertinho msimu wa 2023.
Rekodi ya kufundishwa na makocha watatu kwa msimu mmoja bado inashikiliwa na Gongowazi.
 
On

Ona hii mbumbumbu, Zorani, Robertinho na Benchichak walifundisha misimu mingapi?
Dah.. Rekodi ziko hivi topolo. Hao makocha hawakufundisha musimu mmoja

Juni 2022 - Septemba 2022
Zoran Mac

Januari 2023 - Novemba 2023
Roberto 'Robertinho' Olivieira

Novemba 2023 - Aprili 2024
Abdelhak Benchikha
 
Reactions: Tui
Taarifa rasmi ya klabu imesema hana sifa ya kukaa kwenye benchi? Ebu tuonyeshe iyo taarifa ya klabu iliyosema icho unachokizungumzia,, Mbona unakuwa kama mwezi mchanga? Bodi ya ligi na tff walimpaje leseni ya kufundisha kama walijua amevunja kanuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…