Mafinga_boy
Member
- Jul 12, 2023
- 42
- 50
Mwenye akili pale ni Rage tu wengine mbumbumbuUto hawana akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye akili pale ni Rage tu wengine mbumbumbuUto hawana akili
Hii ni Taarifa kwa UMMMA !Mwenye akili pale ni Rage tu wengine mbumbumbu
Ndio unachojua Mjinga wewe.Acha kuweweseka
tupe uchambuzi wako amama yanga? huyu mpya mnakuja na slogan gani?Wachambuzi uchwara mpo kazini. Lol
sawa ana kibali cha kufanya kazi kwani kibali knakuwa issued genral tuu au in specify exactly work permit kufanya kazi katika muajiri husika. nikimaanisha kwamba ukibadilisha muajiri basi ni lazima utafute permit mpya na huwezi kutumia hiyo ya previous employerAna kibali cha kufanyakazi Tanzania
Ona hii mbumbumbu, Zorani, Robertinho na Benchichak walifundisha misimu mingapi?Utopolo inaweka rekodi ya kufundishwa na makocha 3 msimu mmoja!
hasa zikiwa zinawahusu nyie kundunduHizi ndio habari wanazopenda mbumbumbu
Gongo wazi kwenye moja na mbiliHuo ni umoja wa makolo
View attachment 3225734
🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud atalazimika kushushwa cheo na kuwa kocha msaidizi kwa daraja lake la leseni halitoshi kumfanya awe kocha Mkuu wa timu inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC na badala yake anapaswa kuwa msaidizi.
.
Yanga ilianika hadharani wasifu wake ambao ulionyesha kuwa Mualgeria huyo ana leseni daraja A iliyotolewa na Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (Uefa).
.
Kanuni ya 77 ya Ligi Kuu imefafanua sifa za kocha mojawapo ikiwa ni hadhi ya leseni inayofafanua kuwa kocha mwenye leseni kutoka nje ya Afrika anapaswa kuwa na ngazi ya Pro Diploma ambayo kwa Afrika ni sawa na Diploma daraja A.
.
3.1 “Kocha mkuu wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau Pro Diploma au inayolingana nayo. 3.2 Kocha msaidizi wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau A Diploma au inayolingana nayo.
.
“Kocha wa timu ya Ligi Kuu kutoka nje ya Tanzania ni lazima awe amefundisha klabu ya Ligi Kuu au timu ya Taifa katika nchi yoyote ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita,” inafafanua kanuni hiyo
.
Wakati kanuni zikimbana Miloud, kocha msaidizi Abdihamid Moalin yeye ana sifa stahiki za kuliongoza benchi la ufundi la Yanga kwa vile ana leseni daraja A inayotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika
Kwani huwa unahangaika na Yanga wakati wewe ni Simba? Una roho ya kichawiView attachment 3225734

Ungekuwa na akili japo kidogo ungeelewa kuwa mie nimenukuu taarifa rasmi ya Kla bu ambayo Yanga imetoa kuhusu elimu yake na si mawazo yangu.Vinginevyo ungeilaumu timu yako kwa kudanganya kuhusu sifa za kielimu za kocha wenu.Pia ungekuwa makini ungezijua kanuni zinasemaje juu ya sifa za makocha wa ligi kuu,hizi hapa sifa za kuwa Kocha Mkuu wa Ligi KuuUnajua msiwe mnadandia dandia tu vihabari kwenye mitandao bila kujiridhisha,,unasema hana sifa za kukaa kwenye benchi la yanga,,swali ni Moja tu na ulijibu imekuwaje tff wakampa leseni ya kuifundisha timu ya ligi kuu kama hana sifa stahiki?
Tff wasingempa leseni kama akidhi vigezo,,au pale singida alikuwa anaenda kuwa kocha msaidizi?
Wacha tuone mwigulu ataiamua vipi hii kesi anaweza mpa uraia muda wowote!View attachment 3225734
🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud atalazimika kushushwa cheo na kuwa kocha msaidizi kwa daraja lake la leseni halitoshi kumfanya awe kocha Mkuu wa timu inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC na badala yake anapaswa kuwa msaidizi.
.
Yanga ilianika hadharani wasifu wake ambao ulionyesha kuwa Mualgeria huyo ana leseni daraja A iliyotolewa na Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (Uefa).
.
Kanuni ya 77 ya Ligi Kuu imefafanua sifa za kocha mojawapo ikiwa ni hadhi ya leseni inayofafanua kuwa kocha mwenye leseni kutoka nje ya Afrika anapaswa kuwa na ngazi ya Pro Diploma ambayo kwa Afrika ni sawa na Diploma daraja A.
.
3.1 “Kocha mkuu wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau Pro Diploma au inayolingana nayo. 3.2 Kocha msaidizi wa klabu ya Ligi Kuu kutoka nje ya bara la Afrika anatakiwa kuwa na angalau A Diploma au inayolingana nayo.
.
“Kocha wa timu ya Ligi Kuu kutoka nje ya Tanzania ni lazima awe amefundisha klabu ya Ligi Kuu au timu ya Taifa katika nchi yoyote ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita,” inafafanua kanuni hiyo
.
Wakati kanuni zikimbana Miloud, kocha msaidizi Abdihamid Moalin yeye ana sifa stahiki za kuliongoza benchi la ufundi la Yanga kwa vile ana leseni daraja A inayotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika
Zoran alikuwa kocha 2022.Benchikka na Robertinho msimu wa 2023.On
Ona hii mbumbumbu, Zorani, Robertinho na Benchichak walifundisha misimu mingapi?
Dah.. Rekodi ziko hivi topolo. Hao makocha hawakufundisha musimu mmojaOn
Ona hii mbumbumbu, Zorani, Robertinho na Benchichak walifundisha misimu mingapi?
Taarifa rasmi ya klabu imesema hana sifa ya kukaa kwenye benchi? Ebu tuonyeshe iyo taarifa ya klabu iliyosema icho unachokizungumzia,, Mbona unakuwa kama mwezi mchanga? Bodi ya ligi na tff walimpaje leseni ya kufundisha kama walijua amevunja kanuni?Ungekuwa na akili japo kidogo ungeelewa kuwa mie nimenukuu taarifa rasmi ya Kla bu ambayo Yanga imetoa kuhusu elimu yake na si mawazo yangu.Vinginevyo ungeilaumu timu yako kwa kudanganya kuhusu sifa za kielimu za kocha wenu.Pia ungekuwa makini ungezijua kanuni zinasemaje juu ya sifa za makocha wa ligi kuu,hizi hapa sifa za kuwa Kocha Mkuu wa Ligi Kuu
Unaishi dunia ya kijima mambo ya kutuma barua kwa. SL.Palafu ebu nyie wasomi mnieleze huyu anaazaje kazi mara moja wakati vibali vyake vya kazi ni vya singida black stars?
Ah kwa hiyo process chap kwa haraka aubsioUnaishi dunia ya kijima mambo ya kutuma barua kwa. SL.P