Kocha mpya wa yanga ni Romain Folz (35yrs old )

Kocha mpya wa yanga ni Romain Folz (35yrs old )

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,329
Reaction score
4,203
I will be short

This is streets news , the manager has no any accomplishments. Why yanga chose him ?? We don’t know .
IMG_2218.jpeg
 
Mbona mashabiki wa simba mna roho mbaya sana!!
roho mbaya ipi sasa .

Huyu ndo kocha mpya , na Hana kombe sema ameitoa team relegation Algeria league last season .

Ila huyu dogo Hana kombe la kueleweka wala caf champions league experience
 
Mbona hata coach wangu Fadluraghman Davids ni trophyless, Kama ni hivyo basi makocha chipukizi wasiajiriwe coz hakuna aliyezaliwa tu akawa na makombe. Mwacheni jamaa aje kama anaplan za kuimaliza yanga na kuiteketeza shega tu
 
Kwa ligi ya Tanzania kocha akiwa hata mwijaku au Bambo yanga anakuwa bingwa Kwa sababu wao ushindi unategemea bahasha na kudhamini wa timu 8 za ligi kuu!
 
Kwa ligi ya Tanzania kocha akiwa hata mwijaku au Bambo yanga anakuwa bingwa Kwa sababu wao ushindi unategemea bahasha na kudhamini wa timu 8 za ligi kuu!
mbn hata zisizo dhaminiwa na GSM kama simba na Azam bado zinapigwa na Yanga kila mara, au ndo hupewa bahasha na Yanga?
 
roho mbaya ipi sasa .

Huyu ndo kocha mpya , na Hana kombe sema ameitoa team relegation Algeria league last season .

Ila huyu dogo Hana kombe la kueleweka wala caf champions league experience
Hata hao wenye makombe ya kueleweka walianza kwenye timu zao wakiwa hawana makombe,,,au we ulizaliwa ukiwa unatembea tayari
 
Back
Top Bottom