Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Kimataifa bado hatujafika huko pa kusema tunawaweza makocha wazito wazito labda tuanze sasa hivi. Timu zetu ni za kujenga cv za wachezaji na makocha zaidi.Kwa level ya sasa . Yanga na Simba sio ya kocha mwepesi . Hana hata kombe moja