Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
Yanga, Simba na timu zinazofanana na hizi ni platform ya makocha chipukizi kukuza jina wakifanya vizuri.I will be short
This is streets news , the manager has no any accomplishments. Why yanga chose him ?? We don’t know .View attachment 3403200
Am not 35 , he is older than meWewe katika hiyo miaka yako 35 Uliyonayo ulishawahi kuwa na mafanikio yoyote !??
SawaAm not 35 , he is older than me
Kwa level ya sasa . Yanga na Simba sio ya kocha mwepesi . Hana hata kombe mojaYanga, Simba na timu zinazofanana na hizi ni platform ya makocha chipukizi kukuza jina wakifanya vizuri.
Fadlu Kama huyu tu . Trophy less managers .Daniel mwasi mzee wa i will be short,fadlu nakombe gani mpaka sasa?
roho mbaya ipi sasa .Mbona mashabiki wa simba mna roho mbaya sana!!
mbn hata zisizo dhaminiwa na GSM kama simba na Azam bado zinapigwa na Yanga kila mara, au ndo hupewa bahasha na Yanga?Kwa ligi ya Tanzania kocha akiwa hata mwijaku au Bambo yanga anakuwa bingwa Kwa sababu wao ushindi unategemea bahasha na kudhamini wa timu 8 za ligi kuu!
Nadhani hata mishahara yao sio mikibwa kivileYanga, Simba na timu zinazofanana na hizi ni platform ya makocha chipukizi kukuza jina wakifanya vizuri.
Daah! 😃Wewe katika hiyo miaka yako 35 Uliyonayo ulishawahi kuwa na mafanikio yoyote !??
Hata hao wenye makombe ya kueleweka walianza kwenye timu zao wakiwa hawana makombe,,,au we ulizaliwa ukiwa unatembea tayariroho mbaya ipi sasa .
Huyu ndo kocha mpya , na Hana kombe sema ameitoa team relegation Algeria league last season .
Ila huyu dogo Hana kombe la kueleweka wala caf champions league experience