Kimataifa bado hatujafika huko pa kusema tunawaweza makocha wazito wazito labda tuanze sasa hivi. Timu zetu ni za kujenga cv za wachezaji na makocha zaidi.Kwa level ya sasa . Yanga na Simba sio ya kocha mwepesi . Hana hata kombe moja
Simba muwe mnakataa bahasha ligi iwe ya ushindanimbn hata zisizo dhaminiwa na GSM kama simba na Azam bado zinapigwa na Yanga kila mara, au ndo hupewa bahasha na Yanga?
Fadlu was in big teams prior to Simba scMbona hata coach wangu Fadluraghman Davids ni trophyless, Kama ni hivyo basi makocha chipukizi wasiajiriwe coz hakuna aliyezaliwa tu akawa na makombe. Mwacheni jamaa aje kama anaplan za kuimaliza yanga na kuiteketeza shega tu
But GAMONDI in singida , what do you say about thatNadhani hata mishahara yao sio mikibwa kivile
mo can do the sameKwa ligi ya Tanzania kocha akiwa hata mwijaku au Bambo yanga anakuwa bingwa Kwa sababu wao ushindi unategemea bahasha na kudhamini wa timu 8 za ligi kuu!
Wamepata kocha na timu wanao,wakiacha usimba na yanga wanaleta ushindaniBut GAMONDI in singida , what do you say about that
Kwa hiyo kila Asubuhi anaenda anawaamsha Chama, Pacome, Mkude, Dube Kwa salamu "Shikamoo kaka wakubwa"I will be short
This is streets news , the manager has no any accomplishments. Why yanga chose him ?? We don’t know .View attachment 3403200
kwahiyo wemwenyewe nakienglish chako unaona hiyo ni point ya msingi kabisa?!!Fadlu was in big teams prior to Simba sc
Naona umerudi tena baada ya kuumbuliwa na nyuzi zako mfululizo kuhusu Gamonndi sasa umepata chaka lingine la kuumbuliwaBut GAMONDI in singida , what do you say about that
Kwa akili hiyo basi Vincent Kompany hasingepewa kuifundisha timu kubwa na yenye historia kubwa ulaya kama Bayern Munich.roho mbaya ipi sasa .
Huyu ndo kocha mpya , na Hana kombe sema ameitoa team relegation Algeria league last season .
Ila huyu dogo Hana kombe la kueleweka wala caf champions league experience
Bado anaishi kwa shemeji yake huyoWewe katika hiyo miaka yako 35 Uliyonayo ulishawahi kuwa na mafanikio yoyote !??
Amelingana na mwamnyetoI will be short
This is streets news , the manager has no any accomplishments. Why yanga chose him ?? We don’t know .View attachment 3403200
hahaAmelingana na mwamnyeto