kuna matahira nchi hii balaa hivi nikuulize manji ndiyo Mwenyekiti aliyewahi kuiongoza yanga? nitajie kiongozi ambaye aliwahi kuacha deni hata la mil 200 tu ndani ya miaka 5 achana na yeye anadai bil 11.6, he hill deni limeidhinishwa na kamati tendaji/mkutano mkuu kama inavyoelekeza katiba? hivi maamzi ya kuingia mashabiki yalipitishwa na nani kwa maslahi ya nani? taratibu zilifatwa? kuwakataa wadhamini TBL kuwa no haramu ilikuwa ni kwamaslahi ya nani? nani alipitisha? timu inavaa jezi za Quality Group je in udhamini Wa bil ngapi kwa mwaka maana nakumbuka alukataa udhamini Wa AZAM TV kuwa nikidogo hivyo anaamini pesa aliyotoa yeye itakuwa ni kubwa mno...je hili deni wanayanga walilijua lini au baada ya mchakato Wa kuikodisha?