Kocha Mzambia, George Lwandamina amesaini mkataba wa kuinoa klabu ya Yanga kwa kipindi cha miaka 2

Status
Not open for further replies.
very foooooooooolish. tena narudia foooooooooooooolish. daaaah hivi kweli kuna kocha bora afrika kama plujim?? daaaaah naiskitikia yanga yangu. ameifundisha timu kwa mafanikio makubwa sana.hata takwimu zake hamuangalii. eti kisa kaanza ligi vibaya ndo mnatafuta kocha mwingine.kweli soka la bongo ndio maana hatuendelei. mnashindwa kufahamu kuwa kinachofanya tucheze vibaya ni uchovu kwani tumecheza mechi nyingi na mashindano mengi mfululizo bila kupumzika.wachezaji wamechoka.huyo mzambia ndio ataondoa uchovu au? yaaaaani kweli alietuloga ashadedi. ngoja azam wamchukue muone kazi sasa. fa.ken
Wewe ni Simba! Acha ujinga wako!
 
Hawa watani zetu wanataka kuingia chaka yule babu ni bonge la kocha.
Wasije kua wanataka kusafiria nyota ya mnyama ya kung'ara na kocha wa Kiafrika.
 
very foooooooooolish. tena narudia foooooooooooooolish. daaaah hivi kweli kuna kocha bora afrika kama plujim?? daaaaah naiskitikia yanga yangu. ameifundisha timu kwa mafanikio makubwa sana.hata takwimu zake hamuangalii. eti kisa kaanza ligi vibaya ndo mnatafuta kocha mwingine.kweli soka la bongo ndio maana hatuendelei. mnashindwa kufahamu kuwa kinachofanya tucheze vibaya ni uchovu kwani tumecheza mechi nyingi na mashindano mengi mfululizo bila kupumzika.wachezaji wamechoka.huyo mzambia ndio ataondoa uchovu au? yaaaaani kweli alietuloga ashadedi. ngoja azam wamchukue muone kazi sasa. fa.ken
Mkuu,,,...na hapo hutoi senti yako...
 
Bravo ! I'm so annoyed to support Yanga anymore .....let them fail for good! I'm so annoyed indeed! Think of Mourinho conceiving 4 goals against Chelsea if its bongoland he cold be chased too,, Patience is 0%
 
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amejiuzulu, Juma Mwambusi amejiuzulu na Meneja Hafidh Saleh nae pia amejiuzulu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mikodisho mwaka huu naomba washuke daraja kabisa
1477338340354.jpg
1477338365256.jpg
 
Inaonesha Huyu Kocha Mzungu Kakataa Kukodiwa Ndiyo Maana Anatimuliwa! Kwani Lengo La Manji Ni Kukodi Timu na Kila Kilicho Chake Wakiwemo Wachezaji na Kocha...
Mungu Jaalia Hii Habari iwe Ya Kweli Nimuone Chaneta FC akiomba Poo....

Hata wewe inaonekana unaipenda Yanga huko mchangani uko kwa bahati mbaya
 
Income ya Yanga ni 1.3 bilioni kwa mwaka na matumizi 2.8 bilioni kwa Mwaka.. . Wewe kapuku kama mimi unapata wapi ujasiri wa kumpinga MH Manji...
 
kuna matahira nchi hii balaa hivi nikuulize manji ndiyo Mwenyekiti aliyewahi kuiongoza yanga? nitajie kiongozi ambaye aliwahi kuacha deni hata la mil 200 tu ndani ya miaka 5 achana na yeye anadai bil 11.6, he hill deni limeidhinishwa na kamati tendaji/mkutano mkuu kama inavyoelekeza katiba? hivi maamzi ya kuingia mashabiki yalipitishwa na nani kwa maslahi ya nani? taratibu zilifatwa? kuwakataa wadhamini TBL kuwa no haramu ilikuwa ni kwamaslahi ya nani? nani alipitisha? timu inavaa jezi za Quality Group je in udhamini Wa bil ngapi kwa mwaka maana nakumbuka alukataa udhamini Wa AZAM TV kuwa nikidogo hivyo anaamini pesa aliyotoa yeye itakuwa ni kubwa mno...je hili deni wanayanga walilijua lini au baada ya mchakato Wa kuikodisha?
 
Bravo ! I'm so annoyed to support Yanga anymore .....let them fail for good! I'm so annoyed indeed! Think of Mourinho conceiving 4 goals against Chelsea if its bongoland he cold be chased too,, Patience is 0%
daaaaah yani wamenikata morali yote ya kuishabikia timu yangu
 
kuna matahira nchi hii balaa hivi nikuulize manji ndiyo Mwenyekiti aliyewahi kuiongoza yanga? nitajie kiongozi ambaye aliwahi kuacha deni hata la mil 200 tu ndani ya miaka 5 achana na yeye anadai bil 11.6, he hill deni limeidhinishwa na kamati tendaji/mkutano mkuu kama inavyoelekeza katiba? hivi maamzi ya kuingia mashabiki yalipitishwa na nani kwa maslahi ya nani? taratibu zilifatwa? kuwakataa wadhamini TBL kuwa no haramu ilikuwa ni kwamaslahi ya nani? nani alipitisha? timu inavaa jezi za Quality Group je in udhamini Wa bil ngapi kwa mwaka maana nakumbuka alukataa udhamini Wa AZAM TV kuwa nikidogo hivyo anaamini pesa aliyotoa yeye itakuwa ni kubwa mno...je hili deni wanayanga walilijua lini au baada ya mchakato Wa kuikodisha?
Wewe kapuku kaa kimya....nyie ndo mnaongoza kulalamika tim ikifungwa wakat mwaka mzima hamlipii kadi zenu za uanachama.
Usikute hata familia yako huihudumii vizuri.!!!!
Mwachie timu Manji bhana.
 
Jibu maswali acha boyoyo....halafu mimi siyo vyura fc
 
Shabikieni hata Azam...simba....mbao....
Yanga itaendelea kuwepo
weka akiba ya maneno yako mkuu.kuwa na vision sio kujidai ndo mnazi saaaaana kumbe hujui jahazi linapoelekea.naipenda yanga lakini ni move ya kijinga sana wamefanya this time. naamini tungekuwa juu ya mikia fc kocha angebaki mpaka leo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom