Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

Nyuzi za kujifariji baada ya kutoka udangani
 
Gentamycine,kwa hili hapana!
Simba iliyosukwa na kusukika ilikuwa ya Uchebe tu.
Hii ikiyopo ni lhefu iliyochangamka.
 
Njoeni lile popoma limeanza mada zinazoendana na akili yake

Alex Ferguson alikua mda gani kuisuka Manchester united hadi falsafa yake kueleweka?

Pitso Mosimane alikaa na al ahly kwa muda gani mpaka wachezaji kumwelewa?
 
Wivu utakuua mkurugenzi. Kwani Profesa J ana digrii ngapi? Profesa Maji Marefu mpaka anafariki, akikuwa ana digrii ngapi? Dr. Msukuma ana digrii ngapi?

Anza kwanza na hawa kabla ya kumsakama Profesa wetu Nabi.
 
Robetinho anajua sana, Nabi shahidi alikalishwa 2-0 nyingine kibao zikagonga mwamba..
 
Sasa kama uprofesa wa nabi unakuuma je wa profesa j wamitulinga
 
Sisi tunachojua ni prof. Hayo nengine ni chuki binafsi kama kakuchukulia demu wako. Alafu kakufunga mara nne toka amekuja tz, wew umeambulia ushindi mara mbili na draw 3. Usijitie mjuaji record zipo tena kaa kimyaa
 
RAGE aliwaita mbumbumbu na hilo naendelea kuamini. Kwa akili ya kawaida tu ungeangalia kila kocha aliikuta timu ina hali gani. Nabi kaingia Yanga timu ndiyo kwanza ilikuwa inaanza kujitafuta na wachezaji wanaingia na kutoka, wakati huyu mwingine kakuta timu iko robo fainali. Nadhani tuombe Mungu uzima mwaka kesho Hawa makocha wote kwenye ligi wawepo ili tuheshimiane.
 
Tukiweka unazi mbali,robertinho na nabi wamekutana mara tatu ila mara zote nabi hajawahi kumfunga mbrazil....so nani mkali zaidi...jibu liko wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…