dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Unajaza saver za watu tu popoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado 'Kukukaza' tu.Popoma leo umeandika nyuzi 20
Professor ni nani?Usifananishe profesa na vitu vya kipumbavu.
Hapo ilipoishia mbona hamkufika hapo huko mlipo mnacheza kombe la waliopotea?Kama aliisuka, mbona imeishia palepale inapoishia kila mwaka? Mbona haikwenda nusu fainali? Ili avunje rekodi ya wengine???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwaiyo hii simba ndo ime sukwa? Kazi mnayo aisee
Nyuzi za kujifariji baada ya kutoka udanganiKwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo Mwalimu.
Gentamycine,kwa hili hapana!Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo Mwalimu.
Wivu utakuua mkurugenzi. Kwani Profesa J ana digrii ngapi? Profesa Maji Marefu mpaka anafariki, akikuwa ana digrii ngapi? Dr. Msukuma ana digrii ngapi?Ncha Kali .
Nabi sio PROFESA.
Naomba IFUTE Hilo Neno.
Mtu Hana hata Degree Moja, unamwitaje PROFESA!!!!!
Hakuna Cha maana alichokifanya, Wala Kugundua kufungwa na Simba, kufungwa na Ihefu vipers Alhilal mnamwita PROFESA. Shame.
Na kwenye LIGI KUU Simba hainafungwa miaka miwili na Nabi.
PROFESA Looser.
Mkimaliza maneno nendeni Mtwara mkakomae na kina Namungo kimataifa wamebaki wanaumeRobetinho anajua sana, Nabi shahidi alikalishwa 2-0 nyingine kibao zikagonga mwamba..
Sasa kama uprofesa wa nabi unakuuma je wa profesa j wamitulingaNcha Kali .
Nabi sio PROFESA.
Naomba IFUTE Hilo Neno.
Mtu Hana hata Degree Moja, unamwitaje PROFESA!!!!!
Hakuna Cha maana alichokifanya, Wala Kugundua kufungwa na Simba, kufungwa na Ihefu vipers Alhilal mnamwita PROFESA. Shame.
Na kwenye LIGI KUU Simba hainafungwa miaka miwili na Nabi.
PROFESA Looser.
Sisi tunachojua ni prof. Hayo nengine ni chuki binafsi kama kakuchukulia demu wako. Alafu kakufunga mara nne toka amekuja tz, wew umeambulia ushindi mara mbili na draw 3. Usijitie mjuaji record zipo tena kaa kimyaaNcha Kali .
Nabi sio PROFESA.
Naomba IFUTE Hilo Neno.
Mtu Hana hata Degree Moja, unamwitaje PROFESA!!!!!
Hakuna Cha maana alichokifanya, Wala Kugundua kufungwa na Simba, kufungwa na Ihefu vipers Alhilal mnamwita PROFESA. Shame.
Na kwenye LIGI KUU Simba hainafungwa miaka miwili na Nabi.
PROFESA Looser.
RAGE aliwaita mbumbumbu na hilo naendelea kuamini. Kwa akili ya kawaida tu ungeangalia kila kocha aliikuta timu ina hali gani. Nabi kaingia Yanga timu ndiyo kwanza ilikuwa inaanza kujitafuta na wachezaji wanaingia na kutoka, wakati huyu mwingine kakuta timu iko robo fainali. Nadhani tuombe Mungu uzima mwaka kesho Hawa makocha wote kwenye ligi wawepo ili tuheshimiane.Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo Mwalimu.
Anamfundisha jinsi ya kutolewa?Hadi sasa Robertnho ni mwl wa Nabi. Hata nabi mwenyewe ukimuuliza mwl wako ni nani atakwambia ni Robertinho