ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hilo la mbuzi unalo?Kimataifa ya kombe la mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mgunda aliipeleka timu hatua ya makundi....Simba ni ileile tu.Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo Mwalimu.
Weka rekodi inayo onesha Simba kufungwa mara nne tangu Nabi aje.Sisi tunachojua ni prof. Hayo nengine ni chuki binafsi kama kakuchukulia demu wako. Alafu kakufunga mara nne toka amekuja tz, wew umeambulia ushindi mara mbili na draw 3. Usijitie mjuaji record zipo tena kaa kimyaa
Huyo profesa wenu uchwara ni takataka mbele ya kocha wa simba kama unabisha leta takwimu zao pale wanapo kutana.Logic ni nini hasa ? Utamlinganisha Nabi na huyo kocha wenu au mmevurugwa na matokeo ya Jana ? Mpaka sasa Nabi ana kombe 1 NBC Premier League na yupo mbioni kutetea taji,Nabi ana ngao ya jamii mara 2,Nabi ana Azam confederation cup 1 na Sasa anaiongoza Yanga kwenye michuano ya kimataifa sasa huyo kocha wenu kafanya nini zaidi mpaka upate ujasiri wa kumlinganisha na Nabi Hebu kuwa na adhabu kijana
Kweli kabisa wana mapovu balaaPopoma leo umeandika nyuzi 20
Pompoma akili inataka kumwachaPopoma leo umeandika nyuzi 20
1 Kakufunga mbele ya Mh. Rais goli la Zawadi MauyaWeka rekodi inayo onesha Simba kufungwa mara nne tangu Nabi aje.
Aya leta na rekodi ya mechi walizo kutana kati ya Nabi na Robathno tuone nani amemgalagaza mwenzie.1 Kakufunga mbele ya Mh. Rais goli la Zawadi Mauya
2. Kakufunga ngao ya jamii goli la Fiston Mayele
3. Kakufunga tena ngao ya jamii magoli ya Fiston Mayele
4. Kakufunga FA Semi final CCM Kirumba
Au nadanganya ndugu zangu. Nabi so far ni Threat kwenu Makolokwicho fc a.k.a quarter final champion in CAF competition
Robatinyo ni straika au difenda?Aya leta na rekodi ya mechi walizo kutana kati ya Nabi na Robathno tuone nani amemgalagaza mwenzie.