Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo Mwalimu.
Mgunda aliipeleka timu hatua ya makundi....Simba ni ileile tu.
 
Sisi tunachojua ni prof. Hayo nengine ni chuki binafsi kama kakuchukulia demu wako. Alafu kakufunga mara nne toka amekuja tz, wew umeambulia ushindi mara mbili na draw 3. Usijitie mjuaji record zipo tena kaa kimyaa
Weka rekodi inayo onesha Simba kufungwa mara nne tangu Nabi aje.
 
Logic ni nini hasa ? Utamlinganisha Nabi na huyo kocha wenu au mmevurugwa na matokeo ya Jana ? Mpaka sasa Nabi ana kombe 1 NBC Premier League na yupo mbioni kutetea taji,Nabi ana ngao ya jamii mara 2,Nabi ana Azam confederation cup 1 na Sasa anaiongoza Yanga kwenye michuano ya kimataifa sasa huyo kocha wenu kafanya nini zaidi mpaka upate ujasiri wa kumlinganisha na Nabi Hebu kuwa na adhabu kijana
Huyo profesa wenu uchwara ni takataka mbele ya kocha wa simba kama unabisha leta takwimu zao pale wanapo kutana.

Wamekutana mara tatu na huyo profesa wenu uchwara hajawahi ambulia hata sare mbele ya kocha wa simba zote amekula kichapo tena kichapo chenyewe ni kuanzia magoli mawili kwenda mbele.

Tuache ushabiki tuje na data.
 
Weka rekodi inayo onesha Simba kufungwa mara nne tangu Nabi aje.
1 Kakufunga mbele ya Mh. Rais goli la Zawadi Mauya
2. Kakufunga ngao ya jamii goli la Fiston Mayele
3. Kakufunga tena ngao ya jamii magoli ya Fiston Mayele
4. Kakufunga FA Semi final CCM Kirumba

Au nadanganya ndugu zangu. Nabi so far ni Threat kwenu Makolokwicho fc a.k.a quarter final champion in CAF competition
 
Dawa ya simba ni sajili za kiufundi...sakho, Okrah, Phiri , ...
Huwezi lipa mshahara mkubwa, huwezi kuwatumia knockout stage.
Sajili wachezaji wenye kubwa kwa ajili ya wakubwa wenzako
 
1 Kakufunga mbele ya Mh. Rais goli la Zawadi Mauya
2. Kakufunga ngao ya jamii goli la Fiston Mayele
3. Kakufunga tena ngao ya jamii magoli ya Fiston Mayele
4. Kakufunga FA Semi final CCM Kirumba

Au nadanganya ndugu zangu. Nabi so far ni Threat kwenu Makolokwicho fc a.k.a quarter final champion in CAF competition
Aya leta na rekodi ya mechi walizo kutana kati ya Nabi na Robathno tuone nani amemgalagaza mwenzie.
 
Back
Top Bottom