Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Uwezo wa yanga kuondoka na point zote 3 leo walikuwa nao isipokuwa kocha Nabi alipotea maboya kwenye selection ya wachezaji walioanza mechi hii, tunajua gael bigirimana na kharid aucho ni wazito na awana kasi kutokana na umri kitendo kilichowafanya azam kutawala katikati na kulisogelea lango la yanga kwa haraka na mara kwa mara.
Azam walikuwa na wachezaji wenye kasi kubwa kama Tape edinho, kipre junior na prince dube, bigirimana namba 6 haiwezi kucheza bila ya kuwa na msaidizi mwenye kasi ya kuzuia pale anapopitwa, kipindi cha pili aliliona hilo na timu ikawa inasogea.
Pia, defence line ya yanga inatakiwa ifanyiwe marekebisho inapoteana sana, Mechi hii ni ya pili yanga kucheza ovyo hasa eneo la ulinzi ya kwanza ilikuwa ya coast union kule Arusha kwenye kombe la shirikisho.
Nafikiri mechi hii itawaamsha ni kipimo kizuri sana, pia Morison ilikuwa aimalize hii mechi lakini kuna vitu vya kipuuzi anavifanya ambavyo vimeicost timu.
Chenga ambazo azina faida yoyote wakati uko ndani ya boxi na una uwezo wa kufunga ni tatizo jingine ambalo linatakiwa liangaliwe, yote kwa yote ilikuwa mechi dume yenye viwango.