Kocha Nabi leo umepoteza point 3 muhimu kutokana na selection ya wachezaji kipindi cha kwanza

Wewe unapata wapi jeuri ya kumfundisha mpira mchezaji aliyetoka Newcastle United
 
Vipi bila refa wa mchongo kuwabeba ungepata nguvu ya kuongea
Sasa refa kama angekuwa fair, kipindi cha kwamza Azam walitakiwa wacheze 10 uwanjani na still huyo huyo (Banyana) aliye cheza rafu kipindi cha kwanza ambayo ni straight red card akacheza tena kipindi cha pili bado hakuwapewa red card.

Ila endeleeni kujipa moyo ila tuna waambia ndugu zetu mnao jiita wa kimataifa msimu kama wa mwaka jana HAUNA VIPORO, mshazoea wenzenu wanabakisha mechi tatu nyie mna nane mkononi msimu hamna.
 
Nitajie goli walilofunga yanga ambalo lilikuwa na utata
Goal la kwanza mpira ulitoka nje kabla joyce hajapiga cross na ndo ilizaa builds up ya goli ukijibu naendelea
 
Nitajie Goli la mchongo tulilofunga Yanga.. me nakumbuka magoli yote ni kama Yale Tuliwafunga nyie Makolo.. ule mkwaju wa kwanza, Feisali kalirudia kama lipo alilowatoboa kule Arusha.. Lile la pili duuuh, Njoo ubishe kama uwongo wewe Kolo
Goli la kwanza mpira ulitoka nje ule acha ushabiki maandazi joyce kaupiga mpira ukiwa nje
 
Acha umbumbumbu, mpira wa Lomalisa ulisha kufa baada ya Yanga kushambulia Azam waliokoa ukawa Kona. Goli La kwanza la Yanga halikua na mausiano yaoyote na Mpira alio ucheza Lomalisa.
 
Acha umbumbumbu, mpira wa Lomalisa ulisha kufa baada ya Yanga kushambulia Azam waliokoa ukawa Kona. Goli La kwanza la Yanga halikua na mausiano yaoyote na Mpira alio ucheza Lomalisa.
Achana na haya mambumbumbu huwa hayaelewi kitu na ndivyo yalivyo usiumize kichwa kuyajibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwani hamjui kuwa kombe linaanza kurudi kwa mwenyewe?
Ni lazma yatokee hayo na bado yatatokea mengi.
 
YANGA kitombi wa Makolo... Piga dudu hadi makolo wanapoteana wanategemea team nyingine ziifunge Yanga...
 
Fahamu kuwa kuna wachezaji kuumwa na kuchoka,nabi alilazimika kuwaweka hao wachezaji nje
 
Yanga tulikosa utulivu, tulipata nafasi nyingi na tulifika maranyingi golini Kwa Azam ila hatukutumia nafasi tulizo zipata.Azam walifika marachache golini Kwa Yanga ila walikua hatari.
Nashangaa anayesema kipindi cha kwanza Azam walitawala kiungo. Muda mwingi Yanga walikuwa kwenye half ya Azam ila mipango ya mwisho golini haikuwa sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…