Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
 
Kwa hiyo kagoma kabisa kuvua majaketi ya Simba. Huyu Simba tufanye tumchukue halafu tumpeleke afundishe Simba under 12. Uwezo huo tunao.
 
Msimu ujao simba na yanga zijifungishe kwenye hatua za awali za club bingwa ilinzidondokee looser,zinaweza kutana fainali kombe likabaki Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba hatuhitaji losers, sisi ni CAF CL tyuuh
 
Back
Top Bottom