Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

Unakuaga na akili japo dakika mbili?
Najua wewe ndio uliyevaa miwani hapa na mwenzio changaule hapo pembeni mkitembea kibabe kwa kumfunga mwarabu kwao.

20230604_185356.jpg
 
Hakufukuzwa. Baada ya kuipiga Platnums 4 na kutinga makundi akaiibukia fursa AS FAR Morroco. Kocha ukiwa kwenye peak ndio timing nzuri.
Alifukuzwa kijanja, wasiomtaka walipitia kwa mashabiki wenye umaarufu wa kuhojiwa na online TV. Hoja yao eti alicheza mpira usiovutia. Alivyoona hivyo akajiongeza mapema. Baadhi ya viongozi wa Simba hawakumpenda kwa misimamo yake.
 
Atoke hapo aende wapi sasa watakapomhitaji!? Hivi naye huyo kuna timu itamhitaji mbona ni level za kina Mexime hayo maneno ni kutaka kujionyesha ni wa muhimu hasa kipindi hiki
 
Kwa suala la Kocha Uto nawapa big up Kwa kumvumilia Nabi kutoka kipindi kile anapigwa nje ndani na Rivers mpaka sasa amewafikisha fainal shirikisho. Simba inapaswa kuiga Kwa hili iache upumbavu wa kufukuza fukuza makocha.
 
Nabi huendi kokote, wewe ni kocha bora wa msimu huu. Nitakuwa wa kwanza kuandamana wakikuacha. Mimi chawa na kunguni wako.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
bahasha za kaki zilikuwa zinambeba sana nabi.sasa huko anapokwenda akawe makini
 
Back
Top Bottom