Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

Soma vizuri, nilisema wakimuacha na si akiondoka mwenyewe.
Title ya uzi huu inasomeka hivi:
Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

Kwa lugha hiyo, hakuwa na mpango wa kuondoka ila uongozi umemuacha
 
Title ya uzi huu inasomeka hivi:
Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

Kwa lugha hiyo, hakuwa na mpango wa kuondoka ila uongozi umemuacha
Sidhani kama wamemuacha, atakuwa kapata dau kubwa zaidi. Kaamua kuondoka akiwa na heshima hii. Panapo uzima, anaweza kurudi tena.
Yanga tungekuwa hatumuhitaji, tungeshakuwa na mazungumzo na kocha mwingine. Ndiyo kwanza tunachagua kati ya watano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…