Kocha Noureddine Al-Nabi atua Yanga

Kocha Noureddine Al-Nabi atua Yanga

Mwambieni asiwe anasahau pass yake ya kusafiria
 
Mshaurini awe anatembea na begi lake kabisa kama ilivyokuwa anafanya Enyamel..... Huyu hafiki May 10 maana tarehe 8 anakutana na dhahama.
Mara zote mkiingia na matokeo yenu mifukoni, huwa mnaishia tu kujambishwa na Wananchi ndani ya dk 90.
 
"Pia keshawai kufundisha Real Madrid B"
Kauli ya Utopolo iyo ya kwenda Airport kupokea likocha lao.
 
Hajui hata kingereza atafundishaje sasa na wachezaji wa utopolo hawaelewi
 
Mabingwa wa Kihistoria, Timu ya Wananchi, Vijana wa Jangwani na Vinara wa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young African Sports Club wanadaiwa kumpa mikoba Kocha, Nasreddine Nabi iliyoachwa na mtangulizi wake Cedric Kaze.

al-merrikh-sc-sack-their-head-coach-nasreddine-nabi_1sis85jid9ne12rtd1sn1rpiq.jpg


Nasreddine Nabi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya El Merreikh atachukua nafasi hiyo ambayo kwa sasa inakaimiwa na Juma Mwambusi.

Kwa mujibu wa tetesi zilizopo ni kuwa Kocha huyo Mpya wa yanga anatarajiwa Kuwasili rasmi Nchini hapo kesho siku ya Jumanne akiwa na benchi lake la ufundi.

Kocha huyo raia wa Tunisia ni muumini wa mfumo wa 4-1-4-1 na anauzoefu na soka la Afrika.
Kwa taarifa tu: Huyu ndiye kocha aliyefukuzishwa na simba ya Tanzania, baada ya kushindwa kutamba nyumbani kwenye mechi ya caf champions league. Sasa amejileta mwenyewe kwenye 18 mdomoni mwa simba, mbona atateseka!!
 
Mabingwa wa kihistoria Tanzania, Dar wa Salaam Young Africans maarufu kwa jina la Yanga leo wamemtambulisha, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia kuwa kocha wao mpya

Nabi ambaye anakuja kuchukua mikoba iliyowachwa na kocha aliyetimuliwa Kaze kutoka nchini Burundi


View attachment 1758368
Wataalam Wa kusoma USO Wa MTU,mbona ni kama anaogopa vile?
 
WANADANGANY ALIKUWA KOCHWA AFC LEOPARDS YA CONGO BRAZAVILLE WAKATI WAKICHUKUA UBINGWA WA AFRIKA SHIRIKISHO KUMBE KOCHA ALIKUWA JOSEPH OMOG HUYU MWARABU ALIKUWA MKURUGENZI WA UFUNDI
 
Hili kaburi linatia uchungu kwakweli nikama lile la kibu d vs mayele
 
Back
Top Bottom