Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Wako wapi? Si kina Nchimbi na Sarpong wapo mkuu😂😅😂Kocha anaweza kua mzuri lakini wachezaji wenyewe wako wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako wapi? Si kina Nchimbi na Sarpong wapo mkuu😂😅😂Kocha anaweza kua mzuri lakini wachezaji wenyewe wako wapi?
Mara zote mkiingia na matokeo yenu mifukoni, huwa mnaishia tu kujambishwa na Wananchi ndani ya dk 90.Mshaurini awe anatembea na begi lake kabisa kama ilivyokuwa anafanya Enyamel..... Huyu hafiki May 10 maana tarehe 8 anakutana na dhahama.
Kama lini?Mara zote mkiingia na matokeo yenu mifukoni, huwa mnaishia tu kujambishwa na Wananchi ndani ya dk 90.
Kwa taarifa tu: Huyu ndiye kocha aliyefukuzishwa na simba ya Tanzania, baada ya kushindwa kutamba nyumbani kwenye mechi ya caf champions league. Sasa amejileta mwenyewe kwenye 18 mdomoni mwa simba, mbona atateseka!!Mabingwa wa Kihistoria, Timu ya Wananchi, Vijana wa Jangwani na Vinara wa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young African Sports Club wanadaiwa kumpa mikoba Kocha, Nasreddine Nabi iliyoachwa na mtangulizi wake Cedric Kaze.
![]()
Nasreddine Nabi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya El Merreikh atachukua nafasi hiyo ambayo kwa sasa inakaimiwa na Juma Mwambusi.
Kwa mujibu wa tetesi zilizopo ni kuwa Kocha huyo Mpya wa yanga anatarajiwa Kuwasili rasmi Nchini hapo kesho siku ya Jumanne akiwa na benchi lake la ufundi.
Kocha huyo raia wa Tunisia ni muumini wa mfumo wa 4-1-4-1 na anauzoefu na soka la Afrika.
Wataalam Wa kusoma USO Wa MTU,mbona ni kama anaogopa vile?Mabingwa wa kihistoria Tanzania, Dar wa Salaam Young Africans maarufu kwa jina la Yanga leo wamemtambulisha, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia kuwa kocha wao mpya
Nabi ambaye anakuja kuchukua mikoba iliyowachwa na kocha aliyetimuliwa Kaze kutoka nchini Burundi
View attachment 1758368
Asifungue mabegi yake!Mshaurini awe anatembea na begi lake kabisa kama ilivyokuwa anafanya Enyamel..... Huyu hafiki May 10 maana tarehe 8 anakutana na dhahama.
Aibu hiziMshaurini awe anatembea na begi lake kabisa kama ilivyokuwa anafanya Enyamel..... Huyu hafiki May 10 maana tarehe 8 anakutana na dhahama.
Mwisho wa siku Nabi ndio kafukuzisha mtu Simba.Simba ilimfukuzisha huyu kocha kule Almerikh ya Sudan, na itamfukuzisha tena hapo Utopoloni.
Uchawi hamjaanza leo.ahahahah kwani hawajui kilichomfutisha kazi al merekh game 3 draw 1 poteza 2,al hilal game 4 shinda 1 draw 3, ismaily game 4 draw 1 poteza 3 na sasa yanga ahahah