Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kuondoka ndani ya Klabu ya Manchester City, mwishoni mwa msimu ujao wa 2024/25 mkataba wake utakapomalizika.

Guardiola (52) aliyejiunga na Man City Mwak 2016 amesaliwa na miezi 12 katika mkataba wake na vyanzo vya Habari kutoka ndani ya klabu yake vinaeleza kuwa hataongeza mkataba mwingine.

Kocha huyo ambaye amebeba makombe 15 likiwemo la Champions League, pia amebeba mataji 6 ya Premier League ikiwemo kuweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kubeba ubingwa huo mara nne mfululizo.

= == ==============

Pep Guardiola is set to LEAVE Man City at the end of next season despite the club wanting him to stay... as he looks to re-shape his squad one last time after FA Cup final defeat

Pep Guardiola is expected to call time on a spell of unprecedented dominance at Manchester City next summer

The Catalan, who joined the club eight years ago, has 12 months left on a contract that sources believe will be his last at the Etihad Stadium.

City will give Guardiola space to make a final decision on his future – and want the most successful boss in their history to extend his stay after 15 major trophies, including delivering a first Champions League.

But the club’s hierarchy fear that Guardiola’s ninth year will represent the end. While City stress that there has been no formal indication either way from the 52-year-old, multiple sources within the industry and City have openly discussed the prospect of an impending departure over recent months.

The news will act as a fillip for City’s rivals, who have watched Guardiola mastermind six Premier League titles in seven years and become the first to win four in a row.

Source: DailyMail
 
Kwa hali ilivyo uingereza inaweza kurudi kuwa kama Serie A

Nani tena wa kuleta kashkash Ulaya, Liver ndo kama vile akiondoka na Pep tena City hamna kaz, Chelsea na Man u tushawasahau
Madrid akiendelea kuzichanga vyema Kuna hatihati akaendelea kutesa sana Ulaya miaka hii, timu karibu zote zimejichokea
 
Ndio kipimo cha ubora, Carlo anatafuta taji la 3 katika miaka mitano aliyofundisha Real Madrid. na anatafuta Taji la pili ndani ya miaka mitatu ya second spell

Pep hajaweza kumpita sir alex, mana tazama sir alipoitoa Man Utd na tazama Pep alipokuta City hiyo ndio tofauti yao kubwa.
Wewe hujui mpira unabwabwaja tu
 
Ndio kipimo cha ubora, Carlo anatafuta taji la 3 katika miaka mitano aliyofundisha Real Madrid. na anatafuta Taji la pili ndani ya miaka mitatu ya second spell
Ndio kipimo cha ubora, Carlo anatafuta taji la 3 katika miaka mitano aliyofundisha Real Madrid. na anatafuta Taji la pili ndani ya miaka mitatu ya second spell.
Hapa ndio nimeona huna unachojua yaani unafananisha Madrid na man city kwenye kubeba UEFA kwahiyo Kwa akili Yako guardiola angekua Madrid asingezibeba

wewe uaeujua, hebu tengua hizo hoja.
Huna akili mzee yaani unafananisha real Madrid na man city kwenye UEFA yaani man city kajitafuta juzi tu unalinganisha na Madrid sio mzima kichwani wewe
 
Huna akili mzee yaani unafananisha real Madrid na man city kwenye UEFA yaani man city kajitafuta juzi tu unalinganisha na Madrid sio mzima kichwani wewe

Tatizo liko wapi kufananisha? Real Madrid huwa wanaaza game wakiwa wameshapewa magoli mawili na UEFA ama? acheni kichaka cha kujifichia, Mafanikio ya real madrid yanatokana na kuupiga mwingi na sio kama yanakuja automatic.
 
Tatizo liko wapi kufananisha? Real Madrid huwa wanaaza game wakiwa wameshapewa magoli mawili na UEFA ama? acheni kichaka cha kujifichia, Mafanikio ya real madrid yanatokana na kuupiga mwingi na sio kama yanakuja automatic.
Huna akili mzee unaandika pumba tupu Sasa ndio umeandika nini hapo na unachobisha nini sasa kwamba Madrid na man city zipo sawa wewe huoni hata utofauti Madrid ana UEFA 14 man city anayo 1 hujui mpira
 
Back
Top Bottom