Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mzee unafundisha timu Gani ulaya maana watu wengine hatupendi kubishana mambo yanayopoteza mda kama hayaAlibeba UEFA akiwa Bayern?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee unafundisha timu Gani ulaya maana watu wengine hatupendi kubishana mambo yanayopoteza mda kama hayaAlibeba UEFA akiwa Bayern?
Weka top 5 yako ya makocha bora kwa sasa
Tujue kama pep anazidiwa na kina nani mpaka tuseme ni overrated
Sifa ya uongo ipi kwa guardiola aliyopewaJambo la kwanza nahisi kuna tatizo kwenye ueleo wenu wa hilo neno overrated,
Pep ni kocha mzuri sana, mmoja ya makocha bora kwenye modern day game.
Ila hoja yangu ya kuwa overrated ni kutokana na kumwagiwa sifa zilizopindukia huku nyengine zikiwa za uwongo kabisa.
unashindwa kujibu unarusha manenoMzee unafundisha timu Gani ulaya maana watu wengine hatupendi kubishana mambo yanayopoteza mda kama haya
Buyern alidunda kubeba Uefa.Wewe ndio umechanganyikiwa kusema guardiola overrated wakati wenzio timu zote alizopita kabeba UEFA tena na makombe mengine ya ligi na fa Sasa watu wanakushangaa upo kajamba nani huko kumuongelea pep mbovu
ukikutana na misukule yake utazisikia nyingi sanaSifa ya uongo ipi kwa guardiola aliyopewa
Jambo la kwanza nahisi kuna tatizo kwenye ueleo wenu wa hilo neno overrated,
Pep ni kocha mzuri sana, mmoja ya makocha bora kwenye modern day game.
Ila hoja yangu ya kuwa overrated ni kutokana na kumwagiwa sifa zilizopindukia huku nyengine zikiwa za uwongo kabisa.
Mpaka hapo wewe nimeshakuona una tatizo la afya ya akili huna unachojua kuhusu football yaani mashabiki unawaita misukule yake inaonesha kama umejinyea hapo nenda katawazeukikutana na misukule yake utazisikia nyingi sana
Muanzilishi wa tiki taka
Kavumbua false 9
amenzisha mfumo wa kucheza four center backs
hizo ni chache tu kuna pumba kibao zimejaa hasa kule twitter
Mpaka hapo wewe nimeshakuona una tatizo la afya ya akili huna unachojua kuhusu football yaani mashabiki unawaita misukule yake inaonesha kama umejinyea hapo nenda katawaze
Nenda katawaze umeshajinyea wewenawewe tukueke kundi gani mkuu?
Unafundisha timu Gani ulaya mzeeOnyesha UEFA aliyobeba Pep akiwa Bayern ndiyo tutajua wewe na unayemjibu nani mjinga na nani hajui mpira! 😂
Unajua kwamba Fergie ana UCL 2 tu kwa miaka zaidi ya 25 akiwa na Manchester ambayo inaimbwa kwamba ilikuwa ni hatari zaidi?Misimu 8, Champion League moja tu, huku 200 m pound kila msimu ya usajili.
Jamaa ni overrated sana
Halafu nakukumbusha tu, kama pesa ndizo zinaleta champions league, miaka mitano iliyopita Arsenal na Man u wametumia pesa nyingi za usajili kuliko City.Misimu 8, Champion League moja tu, huku 200 m pound kila msimu ya usajili.
Jamaa ni overrated sana
Kubeba mara 4 mfululizo ni kweli kamzidi ila kiubora wa kiushindani hapana. Pep kabeba ubingwa EPL akiwa na washindani dhaifu sana kila msimu ndani ya misimu 6 aliyobeba ni timu moja tu ndio iliyokuwa ikikimbizana nae wakati wengine wote wakiwa hoi.Kwaiyo inamaana kwa cv yake gaurdiora kampita sir alex fagaso maana gardiora kachukua mara 4 mfulululizo
Unajua maana kuitoa timu chief maana kuitoa yan kaanza nayo tangu inaanza je sir alex anao umri huo ambao man utd kila kocha kwenye timu kafanya yake na kitu pekee kinacho mpa heshima kocha ni vikombe pekee siyo kuitoa timuPep hajaweza kumpita sir alex, mana tazama sir alipoitoa Man Utd na tazama Pep alipokuta City hiyo ndio tofauti yao kubwa.
Yan maneno yako sawa nakusema et zidane alikuwa bora kuliko kina mess na ronaldol utakuwa unakosea sana kila mtu anaheshima yake kwa wakati wake hata sasa gaurdiora ni bora sana kuliko makocha wote waliopita pale EPL kwani kuna timu inameambiwa isifanye usajili mzuri chiki kama msimu huu alivyochuana na arsernal alafu et unalopoka et kakutana na msimu zaifuKubeba mara 4 mfululizo ni kweli kamzidi ila kiubora wa kiushindani hapana. Pep kabeba ubingwa EPL akiwa na washindani dhaifu sana kila msimu ndani ya misimu 6 aliyobeba ni timu moja tu ndio iliyokuwa ikikimbizana nae wakati wengine wote wakiwa hoi.
Chini ya Pep Man United wamemaliza nyuma yake mara 2, Liverpool mara 2 pamoja na Arsenal pia mara 2. Ndani ya hii misimu timu zingine zote zilikuwa zinakuwa nyepesi sana. Kipindi cha Ferguson top 4 zote zilikuwa za moto haikuwa rahisi kuvuka points 90 kirahisi rahisi haikuwa kazi nyepesi kuchukua points 6 kwa wakubwa wenzio.
Unajua maana kuitoa timu chief maana kuitoa yan kaanza nayo tangu inaanza je sir alex anao umri huo ambao man utd kila kocha kwenye timu kafanya yake na kitu pekee kinacho mpa heshima kocha ni vikombe pekee siyo kuitoa timu
Halafu nakukumbusha tu, kama pesa ndizo zinaleta champions league, miaka mitano iliyopita Arsenal na Man u wametumia pesa nyingi za usajili kuliko City.
Utanikumbusha, wana UEFA ngapi?
Pep Fraudiola of FFP 115 club ni overrated coach, sitaki majibu yoyote juu ya ujumbe wangu.Unajua kwamba Fergie ana UCL 2 tu kwa miaka zaidi ya 25 akiwa na Manchester ambayo inaimbwa kwamba ilikuwa ni hatari zaidi?
Naye ni overated? Na kipimo cha coach bora ni UEFA ngapi?
Amagine pep angekuwa coach wetu Manchester United tunavyopenda makelele!
Pep alikuwa Barca akaaminiwa na Johan Cruyff ambaye iliintroduce falsafa ya mpira wa Kisasa ambayo Pep ndiyo amekuja kufanikiwa nayo na akadorminate football, mkadai anabebwa na players.
Kaenda Bayern hakuwa na bahati tu na UCL ila aliifanya Bayern kuwa Moja ya team hatari... mkadai kwamba ni Farmers league EPL ndiyo baba lao.
Haya kaja hapo EPL misimu 7 kabeba mara 6 kwenye league ambayo mnadai ni ngumu duniani.... Kabeba UEFA, kaishia runner-up (Final vs Chelsea).... Kabeba over 17+ trophies ndani ya hiyo miaka mbele ya hao makocha wa league yenu bora, na sio kubeba tu ndiye coach ambaye mpira wake unavutia hata kuuangalia (kamtoa coach ambaye anategemewa kwa makubwa hapo baadae Arteta ambaye ukimwangalia falsafa yake ni kama Pep tu).
Halafu unadai anakuwa overated! Au ndo sababu za kuutetea ugumu wa hiyo league ambayo anaidhalilisha zimeisha?
So far kama hauongei kishabiki kuna namna mpira umekupita kushoto.