Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Taja sifa za uongo anazopewa PepJambo la kwanza nahisi kuna tatizo kwenye ueleo wenu wa hilo neno overrated,
Pep ni kocha mzuri sana, mmoja ya makocha bora kwenye modern day game.
Ila hoja yangu ya kuwa overrated ni kutokana na kumwagiwa sifa zilizopindukia huku nyengine zikiwa za uwongo kabisa.
Liverpool amewahi kuchukua points 6 kwa big four na ubingwa akachukua Man U miaka hiyooo.Kubeba mara 4 mfululizo ni kweli kamzidi ila kiubora wa kiushindani hapana. Pep kabeba ubingwa EPL akiwa na washindani dhaifu sana kila msimu ndani ya misimu 6 aliyobeba ni timu moja tu ndio iliyokuwa ikikimbizana nae wakati wengine wote wakiwa hoi.
Chini ya Pep Man United wamemaliza nyuma yake mara 2, Liverpool mara 2 pamoja na Arsenal pia mara 2. Ndani ya hii misimu timu zingine zote zilikuwa zinakuwa nyepesi sana. Kipindi cha Ferguson top 4 zote zilikuwa za moto haikuwa rahisi kuvuka points 90 kirahisi rahisi haikuwa kazi nyepesi kuchukua points 6 kwa wakubwa wenzio.
Huyo hajui footballMatusi ya nini mkuu?
Coach akipigwa kwa game inamaanisha ni kibonde? Mpira ni mchezo wa matokeo matatu na lolote linawezekana ila sio kigezo cha kutumia game 1, 2 ama 3 kuconclude kuhusu ubora wa coach Fulani.
Liverpool alitoka kuwin league Akala 7 mbele ya Astonvilla kwamba Clop alikuwa kibonde?
Lewandowsk aliwanyoosha Madrid 4 kwamba walikuwa vibonde ama coach alikuwa kibonde?
Last season Madrid alikufa 4 kwa City kwamba coach wao ni kibonde?
Unaangalia mpira wa wapi mkuu?
Ndo Leo najua kwamba coach akipoteza mchezo kwa goal nyingi ni kibonde.
Tatizo unaamini uendeshaji wa club kwa wenzetu huko na kama uliopo kwa hapa kwenu Bongo ambapo mtu akiwa na hela tu na cheo basi yeye ndio anakuwa mwenye kauli ya mwisho hata kama hajui mpira na ni mwanasiasa tu....PUMBA TUPU. yani Laporta aachwe kusikilizwa Laporta ambaye ndio Rais wa Club asikilzwe Cruyff? Be serious dude
Ferguson katika mara 11 zote alizochukua ubingwa wa EPL hakuwahi hata siku moja kufikisha points 90 na wala hata kushida mechi 30 msimu aliowahi kishinda mechi nyingi alishinda 25 ambapo alikusanya points 84 na tena kipindi hicho timu shindani zilikuwa ni New Castle,Liverpool,Arsenal,Leeds United na Man u yenyewe na pia kipindi hicho EPL ilikuw hata sio ligi bora ulaya.Kubeba mara 4 mfululizo ni kweli kamzidi ila kiubora wa kiushindani hapana. Pep kabeba ubingwa EPL akiwa na washindani dhaifu sana kila msimu ndani ya misimu 6 aliyobeba ni timu moja tu ndio iliyokuwa ikikimbizana nae wakati wengine wote wakiwa hoi.
Chini ya Pep Man United wamemaliza nyuma yake mara 2, Liverpool mara 2 pamoja na Arsenal pia mara 2. Ndani ya hii misimu timu zingine zote zilikuwa zinakuwa nyepesi sana. Kipindi cha Ferguson top 4 zote zilikuwa za moto haikuwa rahisi kuvuka points 90 kirahisi rahisi haikuwa kazi nyepesi kuchukua points 6 kwa wakubwa wenzio.
Wengi wa haters wa Pep kama huyu mshikaji hapa wameanza kumfuatilia kwa ukaribu Pep akiwa Man City na ndio maana hata hoja zao ni nyepesi sana na hazina uhakika hata kidogo.....Mkuu umetisha sana. Umetoa maelezo sahihi kwa faida ya wengi.
Watu wengi mpira hawaufuatilii ama hawaujui vizuri ila wanaendeshwa na stori za vijiweni mwisho wa siku ukiwaambia watoe hoja hawana wanaishia kutukana tu.
Wengi watajifunza, big up 🔥🔥🔥
Asipokuelewa kwa maelezo ya hapo juu basi hakuna kitu atakuja kukielewa kwenye maisha yake. Umetoa shule kubwa mno.Wengi wa haters wa Pep kama huyu mshikaji hapa wameanza kumfuatilia kwa ukaribu Pep akiwa Man City na ndio maana hata hoja zao ni nyepesi sana na hazina uhakika hata kidogo.....
Mbaya zaidi hata wachambuzi wetu wa bongo nao wana mawazo haya haya kama ya huyu mshikaji
Tatizo unaamini uendeshaji wa club kwa wenzetu huko na kama uliopo kwa hapa kwenu Bongo ambapo mtu akiwa na hela tu na cheo basi yeye ndio anakuwa mwenye kauli ya mwisho hata kama hajui mpira na ni mwanasiasa tu....
Huko kwa wenzetu mambo hayako hivyo wewe, huko cheo cha uraisi ni cheo tu cha uongozi tena wa kisiasa tu basi, na wala raisi hawezi kuwa mtu mwenye last say hata kidogo...
Huko mtu aliyefanya makubwa kwanzia ndani mpaka nje ya uwanja kwenye timu ndio huwa anasikilizwa sana, ukienda pale Bayern Munich kuna mtu ambaye kwa sasa ni marehemu anaitwa Franz Beckenbeur, ukienda pale Milan kuna mtu anatwa Paolo Maldin, ukija Barcelona ndio ulikuwa unakutana na Johan Cryuff... hawa ni watu ambao mawazo huwa yana heshimika sana kwenye vilabu husika
Unaongelea raisi?? Raisi si anaweza akawa ni mdau tu wa club karuka vihunzi vyote atimae akawa raisi lakini hajawahi hata kucheza mpira wala kuelewa utamaduni wa club husika...
Ujiulizi ni kwani mashabiki wa United huwa wanamheshimu san Ferguson na kukubaliana na mawazo yake karibu kwenye kila jambo na wanaizomea ile grazer family ambao ndio wamiliki wa club???
Taja sifa za uongo anazopewa Pep