Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

Leta ushahidi wa kuvunja mkataba wake.Mmepeana kitawi.Amehamishiwa Main Office hakuna cha mkataba wala mavi.
Unajitia upofu lakini unajua ukweli.
Tawi kuu la Yanga ni Simba maana kila mechi ina achia sometimes wanajifunga ilimradi tu Yanga ashinde
 
Tawi kuu la Yanga ni Simba maana kila mechi ina achia sometimes wanajifunga ilimradi tu Yanga ashinde
1000235890.jpg
 
Tukupe ushahidi wewe kama nani labda? Ata akiamishwa kwani Kuna shida? Kinachokusumbua wewe ni nini sikuelewi?
Huyo ni mbumbumbu yaani anaona ajabu kocha kuhama timu 🤣
 
Yanga wamemtimua side mnyamwezi aiseee tar 8 tutawatia vi 5 vya adabu.
 
Huyu aliyeshindwa kwa Lamba lamba ndo ataweza huko bwawani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga

Club ya CR Beilouzdad imempa offer ya mshahara wa dollar 40,000 na Yanga alikuwa akilipwa dollar 15,000,
Kwa huu mkwanja na ubinadamu laZima ushawishike

Inasemekana mchezo wa Kesho hatakuwepo kwenye bench la ufundi na badala yake atasimama Abdi Moallin Mkurugenzi wa ufundi wa Club ya Young Africans

Tunamtakia kila heri coach Saed Ramovic German machine
All the best coach.
 
Back
Top Bottom