Kocha Selemani Matola anaoa kesho

Kocha Selemani Matola anaoa kesho

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Wakuu habari za uhakika nilizozipata ni kwamba kocha msaidizi wa timu ya simba, SELEMANI MATOLA anafunga ndoa kesho mchana. Wote mnakaribishwa ubeche.

Selemani-Matola.jpg

 
Suleiman Matola Veron , nyuma yupo Pawasa na Costa dah ile ndio ilikuwa Simba bana . All the best Kocha wetu.
 
wakuu habari za uhakika nilizozipata ni kwamba kocha msaidizi wa timu ya simba ,SELEMANI MATOLA anafunga ndoa kesho mchana. wote mnakaribishwa ubeche

Kupata habari ndio kunakufanya uanze kualika watu wengine...?

Utakuwa mtoto wa radhi weye hapo usharusha nzi kujua direction ya kibweche na ushaandaa ndizi mbivu, mbilimbi na pilipili kichaa...
 
Suleiman Matola Veron , nyuma yupo Pawasa na Costa dah ile ndio ilikuwa Simba bana . All the best Kocha wetu.

Umeshanihemsha Mkuu!

1. Juma Kaseja
2.Said Swedi
3. Ramadhani Wasso
4. Victor Costa
5. Boniface Pawasa
6. Suleiman Matola " Mzambia " / " Veron ".
7. Steven Mapunda
8. Shekhan Rashid
9. Mark Sirengo
10. Emanuel Gabriel
11. Ulimboka Mwakingwe

Simba Hii Ilikuwa Ikicheza Unaingia Uwanjani Huku Ukiwa Umeshika Mvinyo Na Mapochopocho Huku Ukitabasamu Muda Wote Na Siyo Simba Ya Leo Ambayo Kabla Ya Kwenda Uwanjani Inabidi Upitie Kwa Dokta Kucheki Presha Na Ukifanya Mchezo Baada Ya Mechi Jina Lako Linaweza Likabadilika Ghafla Na Kuwa Marehemu / Hayati Fulani.
 
Mkuu kwenye hii List umenikosha mno ila hapo kuna yule Marehem Christopher Alex kama umemsahau hivi.
 
Bora Aoe Demu Mwingine Kwani Kwa Muda Mrefu Sana Matola Na Bosi Wake Aveva Walikuwa WakiGEGEDA Mahala Pamoko Kwa Mwandishi Wa Habari Za Michezo Senior Wa " ai pipi yangu " Scraper Somoe Ng'itu a.k.a Mamaa Macho Kungu.
picha yake mkuu tumthaminishe.usihofu,ile sheria bado haijapitishwa.:lol:
 
Ujanakalanani eda anamaliza mwingine uwiiinoshidaaa ajiandae namimba zakusakiziwa
 
Back
Top Bottom