lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu habari za uhakika nilizozipata ni kwamba kocha msaidizi wa timu ya simba, SELEMANI MATOLA anafunga ndoa kesho mchana. Wote mnakaribishwa ubeche.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu habari za uhakika nilizozipata ni kwamba kocha msaidizi wa timu ya simba ,SELEMANI MATOLA anafunga ndoa kesho mchana. wote mnakaribishwa ubeche
Suleiman Matola Veron , nyuma yupo Pawasa na Costa dah ile ndio ilikuwa Simba bana . All the best Kocha wetu.
umemsahau CHRISTOPHER ALEX MAREHEM?
Mkuu kwenye hii List umenikosha mno ila hapo kuna yule Marehem Christopher Alex kama umemsahau hivi.
picha yake mkuu tumthaminishe.usihofu,ile sheria bado haijapitishwa.:lol:Bora Aoe Demu Mwingine Kwani Kwa Muda Mrefu Sana Matola Na Bosi Wake Aveva Walikuwa WakiGEGEDA Mahala Pamoko Kwa Mwandishi Wa Habari Za Michezo Senior Wa " ai pipi yangu " Scraper Somoe Ng'itu a.k.a Mamaa Macho Kungu.
Umemsahau marehemu
Christopher Alex
Kumbe Wewe Kama Mimi Yaani Siipendi Yanga FC Hadi Nataka Hata Kukufuru Mungu ILA Naiombea Ushindi Huko Zimbabwe Wafungwe 8-5!!!!!!!