lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
- #21
Tupeni kadi basi
mkuu wanamalizia kuzichapisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupeni kadi basi
Mkuu wa zimbabwe ni vibonde.subiri waarabu mwisho wa safariKumbe Wewe Kama Mimi Yaani Siipendi Yanga FC Hadi Nataka Hata Kukufuru Mungu ILA Naiombea Ushindi Huko Zimbabwe Wafungwe 8-5!!!!!!!
Anamuoa nani? Au yule demu wake vero bar maid wa t garden?
Bora Aoe Demu Mwingine Kwani Kwa Muda Mrefu Sana Matola Na Bosi Wake Aveva Walikuwa WakiGEGEDA Mahala Pamoko Kwa Mwandishi Wa Habari Za Michezo Senior Wa " ai pipi yangu " Scraper Somoe Ng'itu a.k.a Mamaa Macho Kungu.
Bora Aoe Demu Mwingine Kwani Kwa Muda Mrefu Sana Matola Na Bosi Wake Aveva Walikuwa WakiGEGEDA Mahala Pamoko Kwa Mwandishi Wa Habari Za Michezo Senior Wa " ai pipi yangu " Scraper Somoe Ng'itu a.k.a Mamaa Macho Kungu.
utakua upo katka kipind cha h*";!/dhi ww
Mkuu heshima kwako! Moja ya Kikosi bora kabisa cha MNYAMA katika zama za soka la Tanzania.
Sheria ikipitishwa ,Wewe jela
Wa Kuipitisha Yupo Wapi? Kura Za Maoni Tu Zimewashinda Itakuwa Hiyo Cybercrime Act 2015 Yao? Mkuu au Wewe Ni Mgeni Wa Tanzania?
Ishapita juzi, bado jk kusign
Ni kweli ila mimi ninakikubali kile cha mwaka 1992/1993,kulikuwa na beki moja anacheza namba mbili nimemsahau,Twaha Hamidu,Edward Chumila,Malota Soma...eeeh bwana ilikuwa SIMBA Kweli,siku walicheza na Atletico Eviacao ya Angola tulishinda goli 3 lakini nahisi Simba haijawahi cheza mechi ngumu zaidi ya ile tena hadi sasa.Atletico kulikuwa na kipa wao anaitwa kanka wemba,mshambiliaji Abilio,Yanda na wngine wakali achaMkuu heshima kwako! Moja ya Kikosi bora kabisa cha MNYAMA katika zama za soka la Tanzania.