Kocha Selemani Matola anaoa kesho

Kocha Selemani Matola anaoa kesho

Bora Aoe Demu Mwingine Kwani Kwa Muda Mrefu Sana Matola Na Bosi Wake Aveva Walikuwa WakiGEGEDA Mahala Pamoko Kwa Mwandishi Wa Habari Za Michezo Senior Wa " ai pipi yangu " Scraper Somoe Ng'itu a.k.a Mamaa Macho Kungu.

Aiseee...
 
Mkuu heshima kwako! Moja ya Kikosi bora kabisa cha MNYAMA katika zama za soka la Tanzania.
 
Sheria ikipitishwa ,Wewe jela
 
Mkuu heshima kwako! Moja ya Kikosi bora kabisa cha MNYAMA katika zama za soka la Tanzania.

Swadakta Kabisa Mkuu! Hakika Kikosi Hicho Hakitakuja Kutokea Tena Nchini Tanzania Na Ili Kuonyesha Kuwa Hicho Kikosi Kilikuwa Ni Kiboko Ukiondoa Mkenya Mark Sirengo Tu Wote Waliobaki Walikuwa Pia Wachezaji Wa Timu Ya Taifa Na Kama Utavuta Vizuri Kumbukumbu Zako Wakati Nadhani Kati Ya Wambura au Kaduguda Mmoja Wao Alipokuwa Anakaimu Ukatibu Mkuu Wa TFF Timu Ya Simba Iliweka Rekodi Kuwa Na Wachezaji Karibia 10 Wote Wa Kikosi Cha Kwanza Cha Taifa Stars Ya Wakati Ule Na Zilikuwa Zinapigwa Pasi Za Rula Shamba La Bibi Huku Watu Wakitapika Tu Majukwaani. Simba Ya Sasa Ni Tia Maji Tia Maji Na Sijui Kama Kesho Tutatoka Salama Shinyanga Kwa Kagera. Imefikia Mpaka Sisi Mashabiki Wa Simba Muda Wote Timu Ikiwa Inacheza Uwanjani Mikono Yetu Yote Tumebana MBUPU Zetu Kwani Muda Wote Kinanuka!
 
Mkuu heshima kwako! Moja ya Kikosi bora kabisa cha MNYAMA katika zama za soka la Tanzania.
Ni kweli ila mimi ninakikubali kile cha mwaka 1992/1993,kulikuwa na beki moja anacheza namba mbili nimemsahau,Twaha Hamidu,Edward Chumila,Malota Soma...eeeh bwana ilikuwa SIMBA Kweli,siku walicheza na Atletico Eviacao ya Angola tulishinda goli 3 lakini nahisi Simba haijawahi cheza mechi ngumu zaidi ya ile tena hadi sasa.Atletico kulikuwa na kipa wao anaitwa kanka wemba,mshambiliaji Abilio,Yanda na wngine wakali acha
 
Hapo kwa mark serengo unamtoa unamwingiza Athumani matchupa...pia victor costa alimpisha Amri said..
Hapo mwarabu Al ahly kapigwa kwake hakuamini kwa kikosi hicho!
 
Back
Top Bottom