Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
R.I.P super coach Mziray
alifanya kitu gani cha kuwa "super coach"? alishinda championship ngapi? Ana takwimu zipi, kashinda mechi ngapi, na wenzake walishinda ngapi? Ali raise wachezaji gani super stars? Amewahi kutambuliwa na tuzo gani? Ali introduce kitu gani katika mpira kipya, cha kuitwa "super coach"?Super Coach is no more!!
Tutakukumbuka kwa mchango mkubwa kwa taifa.Sijui mchango gani labda kuwasamabazia dada zetu virus