Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena

Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena

Status
Not open for further replies.
Kuna tuhuma niliwahi kuzisikia siku nyingi kidogo super coach ana kale kaugonjwa kasikokuwa na chonjo wala tiba.
 
Inaelekea ni 'Nyumonia' - alienda mikoani akajifanya hafai sweta. Ile bwana ukiipata kama kinga ni haba lazima dawa ipitie kwenye diripu.
 
Kuna tuhuma niliwahi kuzisikia siku nyingi kidogo super coach ana kale kaugonjwa kasikokuwa na chonjo wala tiba.
ukimyoshea mwenzio kidole jua 4 vinakuonyeshea wewe,cha msingi tumuombee uzima apone upesi arudi ktk ujenzi wa taifa,tuacheni sana maneno hasahasa ya vijiweni.
 
kocha maarufu nchini, syllersaid mzirai amelazwa katika hospitali ya regency jijini na hali ya ni mbaya sana kiugua maradhi ya malaria. Watanzania tumuombee kocha huyo wa zamani wa timu za simba,, yanga na taifa stars.

huyu ninaye mjua mimi ambaye ni mwalimu na profesa wa physical education pale udsm!!!!!!!!!!!?mh kama ndio yeye pole sana kwa wadada aliowafungulia maboutiq loh anaumwa huyo ugonjwa uanosumbua akili za watu sana but get well soon mr mziray
 
Habari nilizopata hivi punde ni kuwa hali ya Super coach sio nzuri tuzidi kumuombea waTz
 
huyu ninaye mjua mimi ambaye ni mwalimu na profesa wa physical education pale udsm!!!!!!!!!!!?mh kama ndio yeye pole sana kwa wadada aliowafungulia maboutiq loh anaumwa huyo ugonjwa uanosumbua akili za watu sana but get well soon mr mziray

Tobaaaaaaa yailahiiiiiiiiiiiiiii
 
Pole kaka Mziray. Baraka za mwenyezi Mungu zikufikie, upone haraka.
 
Kuna tuhuma niliwahi kuzisikia siku nyingi kidogo super coach ana kale kaugonjwa kasikokuwa na chonjo wala tiba.
Ukweli mtupu kaka na naogopa kwa machache niliyokuwa nayashuhudia loo miaka michache iliyopita
 
Pole Mziray,
Iwe malaria iwe ugonjwa gani, any sick human being needs hope and care from human beings.
Heri yao ambao ni disease proof!
 
Binaadamu tusiwe wepesi saana kusema maovu au mabaya ya wenzetu na tukasahau kuwa nasi tuna makosa yetu. Tumumbee ALLAH (SW) amnusuru na hali hii nzito anayokabiliana nayo kwa sasa, Ameen
 
Najitolea kuzikusanya na kumtumia hizi post hapo hospitali nitamtumia tu ambazo ni za kumpa pole,najua what it means when you hear people care abt you when on bed.
 
huyu ninaye mjua mimi ambaye ni mwalimu na profesa wa physical education pale udsm!!!!!!!!!!!?mh kama ndio yeye pole sana kwa wadada aliowafungulia maboutiq loh anaumwa huyo ugonjwa uanosumbua akili za watu sana but get well soon mr mziray

Huyu ndugu hajawahi kuwa profesa, sidhani hata kama Phd alikuwa nayo. Ninachokumbuka ni kuwa alitembea na darasa zima la Physical education mlimani, so kama ni kweli alikuwa na ugonjwa mbaya maana yake wale kinadada kama hawakutoka salama basi ndio hivyo tena.

lakini all in all ni lazima tumuombee ndugu yetu. At least hakuwa mwizi wa mali za umma na alitoa mchango kwa kutuelemisha watanzania.
 
huyu ninaye mjua mimi ambaye ni mwalimu na profesa wa physical education pale udsm!!!!!!!!!!!?mh kama ndio yeye pole sana kwa wadada aliowafungulia maboutiq loh anaumwa huyo ugonjwa uanosumbua akili za watu sana but get well soon mr mziray
Hii ni kama vile "wivu sina roho inauma".Keshapata nafuu na anaendelea vema sasa.
 
Eee MWENYEZI MUNGU MWINGI WA HURUMA.TUNAKUOMBA UMPONYE NDUGU YETU MZILAY.AMENI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom