FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Mfukunyuzi anaweza kukupa habari za mgonjwa mpaka hivi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaumwa nini?
Mkuu utakuwa mmbeya badala ya kumwombea apone unataka kujua anaumwa nini ?
Si umbeya mkuu, labda akijua tatizo anaweza kuwa na njia za kumsaidia
Vidonge vya kuongeza siku vinatolewa bure mkuu.
Hivi unajijua afya yako? na je unajua upo salama kiasi gani kwa kupitia mwenza wako? acha unyanyapaa huwezi jua hatma yako usimhukumu mwenzio sio fresh.....