Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena

Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena

Status
Not open for further replies.
Wakwetu, Mkulu, Ugua Pole, na yote twakuombea kwa Muumba kwani ndiye ajuaye!
Pia Ahsante kwa kuleta mapinduzi ya kabumbu nchini, unajua kama UK walivyoletewa mapinduzi ya kulisakata boli na Arsene Wenger, nawe ulifanya vivyo hivyo Tanzania, tofauti ni kuwa hapa kwetu Tz sifa hupewi labda uwe fisadi na upewe na ma fisadi wenziyo!!

Uguwa pole Kocha!
 

Mhhhh ile kubwa!!!

Kuna tuhuma niliwahi kuzisikia siku nyingi kidogo super coach ana kale kaugonjwa kasikokuwa na chonjo wala tiba.

huyu ninaye mjua mimi ambaye ni mwalimu na profesa wa physical education pale udsm!!!!!!!!!!!?mh kama ndio yeye pole sana kwa wadada aliowafungulia maboutiq loh anaumwa huyo ugonjwa uanosumbua akili za watu sana but get well soon mr mziray

Ukweli mtupu kaka na naogopa kwa machache niliyokuwa nayashuhudia loo miaka michache iliyopita

Jamani si uungwana. Tumtakie matashi mema mwenzetu mgonjwa.

Get well soon Mziray
 
dah,pole kocha wetu...Mungu atakuponya
 
Alifanya makosa kujiunga na Simba sasa ona yaliyompata. Arudi Yanga Afrika na hayo yote yatakwisha
 
Alifanya makosa kujiunga na Simba sasa ona yaliyompata. Arudi Yanga Afrika na hayo yote yatakwisha
Kocha hufundisha timu yoyote na hata Simba hawakumtoa Yanga na ndo maana hata Papic licha ya kukaa bila salary kwa miezi 3, bado tu......!
 
Yaani we acha tu! Huyu bwana alikuwa physically fit pia. Namuombea apone mapema.
 
Jamani acheni Ujinga. Mwenzetu anaumwa tumtakie kila la kheri.
 
kikubwa hapa nimkumuombea mwenzetu apone, U-simba na U-yanga baadae wadau
 
Kocha maarufu nchini, Syllersaid Mzirai amelazwa katika hospitali ya Regency jijini na hali ya ni mbaya sana kiugua maradhi ya Malaria. Watanzania tumuombee kocha huyo wa zamani wa timu za Simba,, Yanga na Taifa stars.

Mfukunyuzi hali yake ikoje kwa sasa pls update
 
Mungu amjalie afya njema lakini wake na nyumba ndogo zake nyingi zimekwisha pukutika na maradhi yanayosumbua kwa muda mrefu!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom