Malaria?
Mhhhh ile kubwa!!!
Kuna tuhuma niliwahi kuzisikia siku nyingi kidogo super coach ana kale kaugonjwa kasikokuwa na chonjo wala tiba.
Mkuu mbona umeshangaa sana??
Malaria?
Mhhhh ile kubwa!!!
Kuna tuhuma niliwahi kuzisikia siku nyingi kidogo super coach ana kale kaugonjwa kasikokuwa na chonjo wala tiba.
huyu ninaye mjua mimi ambaye ni mwalimu na profesa wa physical education pale udsm!!!!!!!!!!!?mh kama ndio yeye pole sana kwa wadada aliowafungulia maboutiq loh anaumwa huyo ugonjwa uanosumbua akili za watu sana but get well soon mr mziray
Ukweli mtupu kaka na naogopa kwa machache niliyokuwa nayashuhudia loo miaka michache iliyopita
Kocha hufundisha timu yoyote na hata Simba hawakumtoa Yanga na ndo maana hata Papic licha ya kukaa bila salary kwa miezi 3, bado tu......!Alifanya makosa kujiunga na Simba sasa ona yaliyompata. Arudi Yanga Afrika na hayo yote yatakwisha
wewe public policy analyst inaonekana unaamini sana wizardAlifanya makosa kujiunga na Simba sasa ona yaliyompata. Arudi Yanga Afrika na hayo yote yatakwisha
Kocha maarufu nchini, Syllersaid Mzirai amelazwa katika hospitali ya Regency jijini na hali ya ni mbaya sana kiugua maradhi ya Malaria. Watanzania tumuombee kocha huyo wa zamani wa timu za Simba,, Yanga na Taifa stars.