Kocha wa Orlando Pirates aapa kulipiza kisasi kwa hujuma alizofanyiwa na Simba

Kocha wa Orlando Pirates aapa kulipiza kisasi kwa hujuma alizofanyiwa na Simba

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Hawaja tu-treat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?

Kocha wa Orlando Pirates, Mandla Cinkazi.
 
Hawaja tutreat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?
Aache ufala,kwani wa kwanza yeye kufungwa hapo?
Kaizer chiefs walikula 3 buyu wakatulia kimyaaaaaa

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Sasa VAR kutofanya kazi kunahusiana nini na Simba? Simba ndiyo waliyoileta au kuifunga hapo uwanjani?

Kocha ana akili ndogo sana huyu. No wonder akili za South Africans weusi zimejaa xenophobia
Subirini revenge mtakapotua Soweto
 
Hawaja tutreat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?
Kocha mkuu wa Orlando pirates Mandla Cinkazi.
Haji manara atakuwa na hali mbaya sana
 
Hawaja tutreat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?
Kocha mkuu wa Orlando pirates Mandla Cinkazi.
Kocha wa hovyo sana!
 
Back
Top Bottom