Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Aache ufala,kwani wa kwanza yeye kufungwa hapo?
Kaizer chiefs walikula 3 buyu wakatulia kimyaaaaaa
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwanza hata Kaizer Chiefs wanawashangaa mbona wao wametekenywa kamoko tu wakati walitegemea vidole vitano. Wasimchukulie mnyama easy easy wamuulize champion of champions Al Ahly , Zamalek, TP Mazembe na AS Villa Muziki wa Simba kwa Mkapa ukoje tena hata Berkane aulizwe. Mbwembwe tu wasouth wale mpira kawaida sana