Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?Je ni wapi walikoyapatia wanaotolewa huko makanisani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?Je ni wapi walikoyapatia wanaotolewa huko makanisani?
Vituko hivi vinapatikana kwa kutuma SMS kwenda 1111 [emoji847]Poleni sana ila simba huyo ½ fainali
Malizia na kubeba kombe kabisaKaizer iliyokula 3 na simba nani alivuka stage hiyo na kwenda nusu fainali
Opirate hawana lolote huko kwao ni timu ya kawaida sana... 🦁 anapitaUtaona
Na nyie mkae kwa kutulia sasaJamani mechi niliiona mwanzo mwisho wakae kwa kutulia Simba baba lao
Wewe pumbavu usiye na maadili.
Una macho lakini hayaoni.Kweli kabisa sijaona uhusika wa Qur'n tukufu hapo
Duh! Mpaka kwenye michezo upo? 🤔Tafadhali shika adabu yako, usiihusishe Qur'an na majini.
Wewe kama huuwezi ushabiki ni heri ukae kimya. Usianzishe udini hapa.
Punguani wahed.
Eti nusu fainali! ya bibienu!Poleni sana ila simba huyo ½ fainali
Ndio maana nilikuwa najiuliza wake jamaa walikuwa wazito uwanjani utafikiri wamefungwa mifuko ya simenti miguuni!Majini yalijaa uwanja mzima baada ya Koran kusomwa
"Anaye yafanyia upofu maneno ya Rahmani tunamwekea Shet'ani kuwa ndiye rafiki yake".(zukhruf:36)Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
"Na anaye mpinga Mtume baada ya kumdhihirikia uwongofu, na akafuata njia isiyo kuwa ya Waumini, tutamuelekeza aliko elekea, na tutamuingiza katika Jahannamu. Na hayo ni marejeo maovu".(Annisaa:115)Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
Sikuelewe unanielewesha nini"Na anaye mpinga Mtume baada ya kumdhihirikia uwongofu, na akafuata njia isiyo kuwa ya Waumini, tutamuelekeza aliko elekea, na tutamuingiza katika Jahannamu. Na hayo ni marejeo maovu".(Annisaa:115)
Mpaka hapo utakuwa umeelewa, au unahitaji ziada?
Aya uliyoinukuu mwanzo inataja matokeo bila ya sababu, hivyo kama mtu ataichukua kama ilivyo anaweza kuleta ufahamu usikuwa sahihi, kama ulivyofanya wewe.Sikuelewe unanielewesha nini
Mnatafuta releaf[emoji23][emoji23][emoji23] utopolo wote hamna akiliJwaneng galaxy alishinda bao 3 uwanja gani?
Pole sana,nawapa pole mno,mnazungumza mambo msiyo na ufahamu nayo wala elimu nayo,ni bahati mbaya sana wakristo hamna sababu ya kuutia doa uislam ispokuwa kwenye majini,hizo ndizo chuki mnazoaminishana na mnazomezeshwa, Sifa ya uislam kila unapouchukia ndipo unapo evolve,haituzidishii wala kutupunguzia chochote,Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
Mkuu hao mazezeta wasikusumbue hapa Tanzania watu wa kwanza kuelimika na kuwa matajiri walikuwa waislam kabla ya yule mzee anayejiita wa taifa kutugeuka mbeleni kwani hata majina na baadhi ya mitaa ya dar es salaam ni waislam ndio walitoa majina kipindi hicho wanafuga nguruwe,Pole sana,nawapa pole mno,mnazungumza mambo msiyo na ufahamu nayo wala elimu nayo,ni bahati mbaya sana wakristo hamna sababu ya kuutia doa uislam ispokuwa kwenye majini,hizo ndizo chuki mnazoaminishana na mnazomezeshwa, Sifa ya uislam kila unapouchukia ndipo unapo evolve,haituzidishii wala kutupunguzia chochote,