Kocha wa Orlando Pirates aapa kulipiza kisasi kwa hujuma alizofanyiwa na Simba

Kocha wa Orlando Pirates aapa kulipiza kisasi kwa hujuma alizofanyiwa na Simba

Upuuuzi mtupu. Huyu kocha atakua kapewa maneno ya uongo uongo na Manara
 
Jamani mechi niliiona mwanzo mwisho wakae kwa kutulia Simba baba lao
 
Tafadhali shika adabu yako, usiihusishe Qur'an na majini.

Wewe kama huuwezi ushabiki ni heri ukae kimya. Usianzishe udini hapa.

Punguani wahed.
Duh! Mpaka kwenye michezo upo? 🤔

Utakuwa ni shabiki wa Makolo bila shaka.! aka Mudi/ Mbumbumbu fc.
 
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
"Anaye yafanyia upofu maneno ya Rahmani tunamwekea Shet'ani kuwa ndiye rafiki yake".(zukhruf:36)
 
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
"Na anaye mpinga Mtume baada ya kumdhihirikia uwongofu, na akafuata njia isiyo kuwa ya Waumini, tutamuelekeza aliko elekea, na tutamuingiza katika Jahannamu. Na hayo ni marejeo maovu".(Annisaa:115)

Mpaka hapo utakuwa umeelewa, au unahitaji ziada?
 
Sikuelewe unanielewesha nini
 
Sikuelewe unanielewesha nini
Aya uliyoinukuu mwanzo inataja matokeo bila ya sababu, hivyo kama mtu ataichukua kama ilivyo anaweza kuleta ufahamu usikuwa sahihi, kama ulivyofanya wewe.

Sasa mimi nimekuongezea nyingine mbili ambazo zinafafanua, sababu na matokeo.

Hii ni Quran, kitabu kisicho na shaka ndani yake.
 
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
Pole sana,nawapa pole mno,mnazungumza mambo msiyo na ufahamu nayo wala elimu nayo,ni bahati mbaya sana wakristo hamna sababu ya kuutia doa uislam ispokuwa kwenye majini,hizo ndizo chuki mnazoaminishana na mnazomezeshwa, Sifa ya uislam kila unapouchukia ndipo unapo evolve,haituzidishii wala kutupunguzia chochote,
 
Mkuu hao mazezeta wasikusumbue hapa Tanzania watu wa kwanza kuelimika na kuwa matajiri walikuwa waislam kabla ya yule mzee anayejiita wa taifa kutugeuka mbeleni kwani hata majina na baadhi ya mitaa ya dar es salaam ni waislam ndio walitoa majina kipindi hicho wanafuga nguruwe,

huko mikoania hawajui hata dar es salaam ni jina lilitokana na waislam likimaanisha nyumba ya amani ubaya sisi wazee wetu walichagua kusoma Quran wakaacha upande wa pili leo ndo jeuri zote hizo na ujanja wao wote huo wakitaka kuchinja kuku wanawatafuta waislam inamaana bible yote haijaelezea jinsi ya kuchinja kuku na bado wanajiona wapo sahihi.
 
Back
Top Bottom