Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Aache ufala,kwani wa kwanza yeye kufungwa hapo?Hawaja tutreat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?
Hamtacheza na uto kwa madibaHaya yote kayaleta kapombeeeeeeeeeeeee goaaaaaaaaaalllll
Uto wote chaliiiii
Kapombeeeeeeeeeeeee goooooaaaaaaaaaall ahahahahahanahanhaanhanahamahananahabanahahanahanahanhnhnhnhahahnhaHamtacheza na uto kwa madiba
Nyie shukuruni zile koraani zilizosomwa hapo kuanzia asubuhi kabla ya mechiHaya yote kayaleta kapombeeeeeeeeeeeee goaaaaaaaaaalllll
Uto wote chaliiiii
Aache ufala,kwani wa kwanza yeye kufungwa hapo?
Kaizer chiefs walikula 3 buyu wakatulia kimyaaaaaa
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Majini yalijaa uwanja mzima baada ya Koran kusomwaNyie shukuruni zile koraani zilizosomwa hapo kuanzia asubuhi kabla ya mechi
Subirini revenge mtakapotua SowetoSasa VAR kutofanya kazi kunahusiana nini na Simba? Simba ndiyo waliyoileta au kuifunga hapo uwanjani?
Kocha ana akili ndogo sana huyu. No wonder akili za South Africans weusi zimejaa xenophobia
Haji manara atakuwa na hali mbaya sanaHawaja tutreat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?
Kocha mkuu wa Orlando pirates Mandla Cinkazi.
Kocha wa hovyo sana!Hawaja tutreat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?
Kocha mkuu wa Orlando pirates Mandla Cinkazi.
Tafadhali shika adabu yako, usiihusishe Qur'an na majini.Majini yalijaa uwanja mzima baada ya Koran kusomwa