Kocha wa Orlando Pirates aapa kulipiza kisasi kwa hujuma alizofanyiwa na Simba

Aache ufala,kwani wa kwanza yeye kufungwa hapo?
Kaizer chiefs walikula 3 buyu wakatulia kimyaaaaaa

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Kwanza hata Kaizer Chiefs wanawashangaa mbona wao wametekenywa kamoko tu wakati walitegemea vidole vitano. Wasimchukulie mnyama easy easy wamuulize champion of champions Al Ahly , Zamalek, TP Mazembe na AS Villa Muziki wa Simba kwa Mkapa ukoje tena hata Berkane aulizwe. Mbwembwe tu wasouth wale mpira kawaida sana
 
Kuna clip iko huko yuotube za OP nikasema yerewiii Simba anaenda kukutana na Bancelona...... kumbe madudu mtupu........... Wale wachambuzi wa mchongo kutoka wasafi fm & Efm mpooo ......... nasema Simba wanapita vzuri tu coz 2-1 anapita 3-2 anapita sare yoyte simba anapita

Kamwene 🐸🐸
 
Hawaja tutreat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?

Kocha mkuu wa Orlando pirates Mandla Cinkazi.
Nyie wazoefu wa CAS mpeni masaada wa kisheria akashitaki CAS .
 
Team imekuja siku moja kabla ya mechi halafu imefungwa wanalalamika.
 
Nani asiyejua Uislamu umegubikwa na majini ndani yake, hata majini yenu kufanya kazi huwa mnasoma hiyo quran
Wawezatupatia ushahidi,au ni ChUKI TU DHIDI YA UISLAMU?Maana chuki mliyonayo dhidi ya uislamu ni kubwa sana na si ajabu kutunga uongo kila uchao, ili kuipaka matope dini hii lakini haitasaidia kitu,Allah (Sw)atailinda mpaka kiyama
 
Wawezatupatia ushahidi,au ni ChUKI TU DHIDI YA UISLAMU?Maana chuki mliyonayo dhidi ya uislamu ni kubwa sana na si ajabu kutunga uongo kila uchao, ili kuipaka matope dini hii lakini haitasaidia kitu,Allah (Sw)atailinda mpaka kiyama
Allah anailinda au yeye ndiye analindwa unadhani hatuoni huu udhahiri?
 
Dini na Mungu hawatetewi, hujitetea wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa eti majamaa yanamtetea mudi hadi yanachinja watu hahahaaaa wewe mtukane Yesu upendavyo,choma biblia zote hutaona mkristo anakugusa what we believe Mungu ni mkuu sana hapiganiwi na binadamu atakuadhibu mwenyewe kwa wakati wake
 
majini na mapepo yapo makanisani,ndipo napotoana huko kila siku,ushawahi kuskia muislam katolewa jini mskitini?

Shikamana na Adabu,
Msikitini huwezi kukemea mapepo na majini sababu ni party ya uislamu harafu utakemea kupitia jina gani?? Allah mungu wa kipagani au mudi a professional womanizer??
 
"Na anaye mpinga Mtume baada ya kumdhihirikia uwongofu, na akafuata njia isiyo kuwa ya Waumini, tutamuelekeza aliko elekea, na tutamuingiza katika Jahannamu. Na hayo ni marejeo maovu".(Annisaa:115)

Mpaka hapo utakuwa umeelewa, au unahitaji ziada?
Mtume huyu huyu ambae hakufanyiwa sunnah na akaoa katoto ka miaka 9?
 
Yaani mimi nichinje kuku nimwite muislamu?? Umerogwa wewe yaani nikaribishe majini Nyumbani kwangu??
 
Naona sasa mnataka kuleta udini humu.

Ni elimu gani hiyo ambayo waumini wa kiislamu wamewazidi wakristo? Kwa takwimu zipi?

Hebu acheni udini wenu hapa.
 
kwa hiyo jina Dar es Salaam ni la kiislam sio kiarabu,hivi kinachofanya liwe la kiislamu ni maana au lugha?kuanzia leo anza kujifunza kikwenu ukianza na amani iwe kwenu.
 
kwa hiyo jina Dar es Salaam ni la kiislam sio kiarabu,hivi kinachofanya liwe la kiislamu ni maana au lugha?kuanzia leo anza kujifunza kikwenu ukianza na amani iwe kwenu.
Ni la Kiislaam, lipo ndani ya Qur'an. Halikupatapo kutajwa kabla ya kutajwa ndani ya Qur'an.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…