Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa.

Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera kwani ni Bonge la Kocha na nauomba Uongozi wa Simba SC upesi sana umuongezee Mkataba tena ikiwezekana ili atufanyie makubwa apewe Mkataba mrefu wa kati ya Miaka Mitatu au Mitano.
 

Leo Ndiyo Umeandika Kitu Ya Maana
 
Ni CAFCL Boss, sisi sio losers
 
Pole sana mkuu ....ndio mpira
 
Hawa vishoka wote washike njia?
 
Kufa ni kufa tu, mmeumsliza mwendo, Imani yenu ya qota final mmeilinda. Jaribu tena mwakani.
 
Mkuu kwa heshima ya huyo Master ningependa uwe unatumia 'tactician' Robertino Oliviera.Kocha tuwaachie Yanga ,Ihefu na wakufanana nao.
 

Quarter final
 
Hatari sana kiukweli kocha huyu atunzwe vizuri na apewe malengo makubwa ana kitu cha muhimu kwa mahitaji yetu.



Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…